hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
TTCL iko vizuri mkuu, hiyo internet unayotumia kupost hapa iwe ni unatumia Vodacom, tigo, smart, Zantel au airtel jua tiari ushawalipa TTCL, unapoona wanatoa gawio usidhani ni hadithi.
Acha siasa twende kwenye takwimu,
TTCL iko vizuri kwenye kitu gani? Wanatoa mbps ngapi?
Kusema kuwa kila internet ya isp mwingine unalipia TTCL mbona ni kitu cha kawaida si sawa tunavyosema kila kwenye lita moja ya mafuta sh mia inaenda kwenye REA