TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

Issue siyo vifurushi tu.
TTCL wamekosa ubunifu wa kuingia kwenye soko. Wanaweza kuwa na bidhaa bora na nafuu lakini kama hawana ubunifu wa kuingia na bidhaa zao sokoni siioni kama watakuwa na mabadiliko.
Usijali mkuu, nitawasilisha maoni yako kwa uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…