TTCL ina deni la bilioni 403 ilhali mtaji bilioni 243

Kuna mambo hayaitaji ata kutetea ndio maana kama taifa kila siku tunaumizana kwa kupga marktime,ayo unayosema wabunge au watu kuwa na hisa ktk izo kampuni sio tatzo kama kuna sehemu inaonyesha kuna shida kwann tuwatupie watu lawama,hao tanesco pamoja kuwa pekee yao lkn bado kuna sehemu wana hasara ,shirika la ndege wapo wao tu lkn kila siku zinakuja hasara je uko kote kuna hisa za wabunge ,kuna jambo ambalo kitu kikiwa chini ya serikali kinakosa tofaut na watu binafsi asa asa aya mashirika mfano mdogo radio ya wasafi umetoka juzi lkn ikija takwimu ya wasikizaji inazid kwa mbal tbc kwann,apo apo jiulze kama vodacom ambao wana wateja zaid ya m10 kuna muda wanalalamika hasara itakuaje kwa ttcl ambao unaweza familia ya watu kumi ata mmoja mwenyewe iyo lain hana ,aya mashirika ya serikali yaache maneno bila vtendo yaongeze ubunifu yaongeze wafanyakazi waongeze miundombinu na pia wawe na mkakat wa kusaka wateja kwa promotion mapunguzo,ubora nk,haiwezekan shirika limeyumba sana linakuja kufufuka mtandao auna nguvu bei ya mabando na vifurushi kama sawa na wengine na pia wamejifichaficha tu mtu hawezi kushawishika na chochote mwsho wa siku tunakuja kusema hujuma ,nakumbuka mwaka fulan hiz huduma za kipesa zinaanza kat ya hii mitandao mitatu kuna mmoja ulichelewa kuleta hii huduma baada na wao kuja na huduma yao ili kwenda na kasi ya wenzao wao walianza kwa ofa nyingi sana ikiwa adi kutoa pesa bure walisambaza mateamleader kila sehem hauwez kuptia sehem bila kukutana na hiace imejaza vijana wa promotion ,matunda yake leo hii huo mtandao leo hii huwez kuukosa ktk namba mbil au tatu kwa watumiaji
 
Tanesco"Maslahi mapana kwa Taifa"🤔🤔🤔 Kwahiyo tanesco inaendeshwa faida???
 
Timua wazee,weka vijana,watatiana Sana lakini lakini hapatokua na hasara
 
Halotel sio
 
Ndio maana wamepunguza MB's kumbe wanataka walipe deni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawasalimia kwa jina la Divided Republic of Tanzania nanyi mnajibu KUDEMKA kuendelee.

 
Kila siku nawaambia serikali imejaa watu waliofaulu kwenye mitihani lakini hawana exposure wala kipawa cha biashara..

Endeleeni kuangalia Pass mark za vyeti
 
Halafu utakuta wakurugenzi wa TTCL Wana MBA za CBE na master's in information technology toka Dar tech.
Wahasibu Wana M. Sc in Accountancy toka IFM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…