TTCL ina deni la bilioni 403 ilhali mtaji bilioni 243

ni TTCL ndo anaekufanya mpaka unaandika comment apa, akiamua kuanza kujiendesha kwa faida hutakaa uguse mtandao
Ttcl kitu gani bwana, it is not indispensable to this country, even if it is declared bankruptcy today it won't be the end of information dissemination.

Ttcl is surviving on the old styled business monopoly. It's high time every telecommunication service provider installed its own equipment for use in providing telecommunication services to the people something that will also help lowering costs to users.

One of the reasons that has contributed to the high utility cost for telephony in Tanzania is for the service providers to rely on using Ttcl facility instead of owning theirs.
 
we ni mpuuzi, mjinga + mpumbavu! yaaani mnasema magu alikua mkatili , i wonder sana maaana ningekutana na akili kama hizi nadhan sjui ungekua wap saaahv hamna kichapo usingepata!

- the same same TTCL unaoiangalia na kuiponda ndo inategemewa na rwanda + burundi + drc + zambia + malawi for all its internet service! yaaani akili kama hizi ndo zile zilitakiwa kushuhulikiwa vizuri kipindi akiwa hai, rubbish

  • Tanzania has high cost of internet??????? nchi gan ingine africa ina bei ndogo kuliko tanzania?
  • Unajua serikali imeingia gharama kiasi gan kutandaza high speed cables underground nchi nzima ili upate loss cost internet? do you even know the cost of fibre optic per kilometer?

  • do you even know the cost of each request per packet on every connection, unajua ni kodi kiasi gan inatumika kupunguza makali ya bei za bundle?
  • do you even know anaetuuzia internet tanzania ni nan na anauuza bei gan? au ndo tuseme ushashiba ugali unaropoka
 
- TTCL kwan ni monopoly? kwan kuna mtu kamlazimisha atumie TTCL voda miaka ya 2000 mwanzoni si walitengeneza yao, wamepita mikoa miwili tu wakarudi TTCL waambie waendelee walipoishia, ttcl ni monopoly mpaka kwenye nchi za watu .... , usichokijua hata minara ya simu inamilikiwa na kampuni tafauti, inaitwa HELIOS TOWERS ndo wanamiliki 90% ya minara yote, kama unaona nongwa kaanzisha mtandao wako mpuuzi wewe
 
“Hicho ni kiashiria kuwa bado shirika haliendi vizuri. Shirika letu linalipa hadi kodi lakini mapato yao hayajaingizwa katika vitabu vyao,” amesema Hasunga.
Ukienda TTCL Manyoni utacheka, wamepangisha ofisi za mbele kwa CRDB na wafanyabiashara wengine, wao wamejificha kwenye kibox nyuma ya jengo lao,
 
TTCL ni state owned, ina advantage zote za serikali lakini haitakiwi kua ahead kwa sababu itaua biashara nyingi zaidi kwa sababu serikali sio bunifu, japokua inakaa nyuma ya kibanda ila mitandao yote mingine inafanya kazi kwa sababu ya uwepo wake
 
Ndiyo wakose hata vocha kwa maelezo kuwa HQ hawajawatumia!! Ila mpangaji wake ana vocha zote kasoro za TTCL
 
- TTCL kwan ni monopoly? kwan kuna mtu kamlazimisha atumie TTCL voda miaka ya 2000 mwanzoni si walitengeneza yao, wamepita mikoa miwili tu wakarudi TTCL waambie waendelee walipoishia, ttcl ni monopoly mpaka kwenye nchi za watu .... , usichokijua hata minara ya simu inamilikiwa na kampuni tafauti, inaitwa HELIOS TOWERS ndo wanamiliki 90% ya minara yote, kama unaona nongwa kaanzisha mtandao wako mpuuzi wewe
Kitu usichokijua ni kwamba, wewe kwa akili yako unafikiri kampuni ikishakuwa na minara tu basi kazi imeisha.

Unakosea sana na unafaa kuelimishwa zaidi. The system that all telecom service providers uses to transmit their signal 🚦 is owned by Ttcl, just to educate you.
 
we ni mpuuzi, mjinga + mpumbavu! yaaani mnasema magu alikua mkatili , i wonder sana maaana ningekutana na akili kama hizi nadhan sjui ungekua wap saaahv hamna kichapo usingepata!

- the same same TTCL unaoiangalia na kuiponda ndo inategemewa na rwanda + burundi + drc + zambia + malawi for all its internet service! yaaani akili kama hizi ndo zile zilitakiwa kushuhulikiwa vizuri kipindi akiwa hai, rubbish

  • Tanzania has high cost of internet??????? nchi gan ingine africa ina bei ndogo kuliko tanzania?
  • Unajua serikali imeingia gharama kiasi gan kutandaza high speed cables underground nchi nzima ili upate loss cost internet? do you even know the cost of fibre optic per kilometer?

  • do you even know the cost of each request per packet on every connection, unajua ni kodi kiasi gan inatumika kupunguza makali ya bei za bundle?
  • do you even know anaetuuzia internet tanzania ni nan na anauuza bei gan? au ndo tuseme ushashiba ugali unaropoka
"- the same same TTCL unaoiangalia na kuiponda ndo inategemewa na rwanda + burundi + drc + zambia + malawi for all its internet service! yaaani akili kama hizi ndo zile zilitakiwa kushuhulikiwa vizuri kipindi akiwa hai, rubbish"
Achana na hizo hadithi za vijiweni. Sio kweli kwamba hizo nchi zinatumia mtambo wa Ttcl ktk kusambaza huduma ya mawasiliano huo ni upotoshaji mkubwa sana.
 
Shida ni rushwa na 10% tu ndio zinadhoofisha shirika! Watoe wazee humo ndani watuingize dam changa tuje kufanya mabadiliko!

TTCL ina advantage kubwa sana sokoni ila tatizo ni Management ya kipuuzi! Mkurugenzi ana share Vodacom au Tigo na still pia ana kimango anapokea kila mwezi toka Tigo, Voda na Halotel unategemea awa favour TTCL kwa kipi hasa!?

Tutaendelea kulia lia na haya mashirika ila chanzo ni ufisadi na rushwa!
Mhh😂😂😂

Mtakubali kweli na nyie muishi kinyonge

Ova
 
Ukienda TTCL Manyoni utacheka, wamepangisha ofisi za mbele kwa CRDB na wafanyabiashara wengine, wao wamejificha kwenye kibox nyuma ya jengo lao,
Naona wanamfuata mmiliki wao
 
Kitu usichokijua ni kwamba, wewe kwa akili yako unafikiri kampuni ikishakuwa na minara tu basi kazi imeisha.

Unakosea sana na unafaa kuelimishwa zaidi. The system that all telecom service providers uses to transmit their signal [emoji613] is owned by Ttcl, just to educate you.
Ttcl imebakia jina tu kama ilivyo ccm
 
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limelemewa na deni la Sh403 bilioni ilhali mtaji ilionao ni wa Sh243.

Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Japhet Hasunga amesema hayo jana Jumatano Oktoba 20, 2021 baada ya kuipitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2019/20 ambapo amesema wamebaini kuna viashiria katika Shirika hilo kutofanya vizuri kwakuwa lina mtaji hasi wa Sh132 bilioni na madeni makubwa kuliko mtaji wake.

“Hicho ni kiashiria kuwa bado shirika haliendi vizuri. Shirika letu linalipa hadi kodi lakini mapato yao hayajaingizwa katika vitabu vyao,” amesema Hasunga.

=====

Pamoja na nia njema ya JPM, mashirika ya umma yamekuwa yanakula pato la Taifa bila kuleta tija. Tubaki na Tanesco yenye maslahi mapana ya Taifa, haya mengine tukihitaji uzalendo tuwape wafanyabiashara wazawa wajaribu bahati yao.

TTCL ndio ina mkongo wa Taifa wa Data, pamoja na advantage hiyo kibiashara wameshindwa kabisa kutawala soko la internet, yaani mwingine ananunua kutoka kwao halafu anawagaragaza sokoni, tumeshindwa.
Watuambie gawiwo walilokuwa wanatoa kwa serikali lilikuwa linatoka wapi?
 
Deni la TTCL ni kutokana na mtaji unaolifanya shirika liwe la kisasa. Hao wabunge walikua wapi kulilia Celtel wamalize deni lao la dola milioni 55?
net debt ya TTCL ni ~bilion 130, huu ujanja ujanja ni kutaka kuligawa shirika kwa kampuni binafsi. Acheni watu wafanye kazi jamani. Tunajua wabunge wanahisa kwenye kampuni za simu hasa Vodacom Tanzania, na uwepo wa TTCL ni mwiba kwa Vodacom hasa kwenye tenda za mawasiliano za serikali. TTCL inapata tenda zote za serikali zinazohusu mawasiliano.
Hujuma kwa TTCL ni kwasababu ya ulafi wa wanasiasa.
Mwaka 2015, ripoti ya habari leo yenye kichwa cha habari TTCL yafilisika
ilionesha wazi jinsi shirika hili linavyohujumiwa na kampuni binafsi za mawasiliano.
Tusijifanganye Serikali haiwezi kufanya competitive business. Wale akina BWM waliouza mashirika ya imma walifanya mambo ya maana sana kiuchumi.

Kwenye sekta ya mawasiliano kuna hitaji maamuzi makubwa na ya haraka sana katika ku manage biashara. Kwa urasimu wa Serikali TTCL HAIWEZI KAMWE kushindana na akina Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel.

Magufuli hajui biashara na hakusoma biashara ila alikuwa na UTHUBUTU hata wa kufanya mambo ya KIJINGA. Hivi unaanzaje kupokea GAWIO (Dividend) ya Tsh 2.0 Bilion toka kwenye Shirika la TTCL linalodaiwa Tsh 400 Bilion? Hiyo ni akili au matope? Yule Mwendazake heri amekufa tu, alikuwa mharibifu.
 
TTCL ni state owned, ina advantage zote za serikali lakini haitakiwi kua ahead kwa sababu itaua biashara nyingi zaidi kwa sababu serikali sio bunifu, japokua inakaa nyuma ya kibanda ila mitandao yote mingine inafanya kazi kwa sababu ya uwepo wake

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
"- the same same TTCL unaoiangalia na kuiponda ndo inategemewa na rwanda + burundi + drc + zambia + malawi for all its internet service! yaaani akili kama hizi ndo zile zilitakiwa kushuhulikiwa vizuri kipindi akiwa hai, rubbish"
Achana na hizo hadithi za vijiweni. Sio kweli kwamba hizo nchi zinatumia mtambo wa Ttcl ktk kusambaza huduma ya mawasiliano huo ni upotoshaji mkubwa sana.

ndo maaana nkakuita mpuuzi, sasa ulichokua unaongea ni nn wakati hujui chochote?
 
Back
Top Bottom