Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo.
Mashirika aliyofanya Nape akiwa kama waziri yametoa pongezi na kujifanya wanajua sababu wakati rais pekee ndiyo anajua sababu. Barua ya Ikulu inasema uteuzi wa Nape umetenguliwa, wanajua underline reason ya kumtengua mpaka wao wapongeze kama kazi ilikuwa inafanyika nzuri? Hii ni kazi ya Ikulu sio TTCL na Board yao.
Board za Wakurugenzi zimeitisha kikao leo Asubuhi kujadili suala la Nape na kuja na hizi Pongezi?
Yaani board imejadili uteuzi wa Rais?
Kama Jina la Board limetumika bila kikao tunataka uwajibikaji, maana utakuwa ni uhuni, kama board imeitwa kujadili uteuzi, Basi Jerry Silaa ajipange hawa ni wahuni tu wanaonyesha loyality yao iko kwa mtu na sio Office bearer.
UPDATE: Hatimaye Raisi SAMIA amekuwa msikivu, amewatengua kama nilivyo-omba .
Asante sana mama,walifanya insubordination.
Si wote wametoa pongezi kwa Nappe, wacha wakapongezane huko huko bench