Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nchi hii wapuuzi ni wengi sana. Sasa walichokifanya kina kuathiri nini?

Simpendi Nape ila unachokisema mleta mada ni roho ya kishetani!
TTCL.jpeg
 
Mama fuatilia mawasiliano ya simu zao wale wote waliomo chini ya January Makamba. Wawe mabalozi au Katibu Mkuu, ila wamekusema vibaya kwa sababu ya kuwatumbua; basi piga chini
 
Inamdhalilisha Rais ambaye hakutoa sababu ya kuwaondoa, hivyo yeye ndio mamlaka kuu hakosolewi na subordinate wake.
Kaa kwa kutulia kama upo unauza machungwa barabarani hujui sheria za utumishi w aUmma.
Sheria ipi katika nchi hii inasema Rais hakosolewi?

Kumshukuru mtu kwa utumishi inamaanisha kumkosoa Rais?

Kuishi kwa kuhisi hisi vitu vibaya ni dalili kuu ya incompetency.

Hiyo ni inferiority character!
 
Omba kanuni za utumishi wa umma na viongozi ujifunze usikaze fuvu kama la watumbuliwa jombaa, elimika!
 
Back
Top Bottom