James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
- Thread starter
- #21
Wamrudishe. kindamba au watafute muwekezaji wampe shirika huku TTCL akipokea 51%Hakuna jinsi labda wapige dili na wakuu wa nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamrudishe. kindamba au watafute muwekezaji wampe shirika huku TTCL akipokea 51%Hakuna jinsi labda wapige dili na wakuu wa nchi
Soko gumuWamrudishe. kindamba au watafute muwekezaji wampe shirika huku TTCL akipokea 51%
Hahahahaaa, wamebebwa na refa?Hata hiyo nafasi ya mwisho wamependelewa
Faiba majumbani ni rushwa tupuHahahahaaa, wamebebwa na refa?
Kama maboresho yamewafanya kuwa wa mwisho ina maana kabla ya maboresho hawakuwepo kabisaOfisa Mkuu wa Teknolojia na Ufundi wa Tigo, Emmanuel Mallya alisema ubora wa huduma ni matokeo ya uboreshaji walioufanya ndani ya takribani miaka miwili iliyopita.
Elewa maana ya kuchukua kwenye matukio 287..Kwamba zantel imeishinda hadi voda!
Ngoja kwanza wewe maji yajae...Wapime na TANESCO
wajawahi fanya maboresho hawaKama maboresho yamewafanya kuwa wa mwisho ina maana kabla ya maboresho hawakuwepo kabisa
Tatizo lao wakimuona mtu yuko straight wanampiga chini au majungu yanaanzaKila mkurugenzi anayeingia anakuja na mipango yake. Mfano yule Kindamba alitaka TTCL iwekeze kotekote kuanzia calls, SMS, dat mpaka faiba majumbani nzuri zaidi ukimpa ushauri anajaribu hata kuufanyia. Ukimwambia kifurushi hiki ni kidogo hakifai kiongeze anajaribu kushugjulikia
Sasa huyu mkurugenzi mpya bwana Peter Ulanga yeye anataka mambo ya intaneti ya Faiba majumbani na maofisi tu hataki kusikia kuhusu mambo ya sms, vifurushi vipya wala T PESA yani hataki kusikia kabisa anawae faiba tu
Kweli kabisa, walitakiwa kutolewa wasiwemo kwenye huo ushindani.Hata hiyo nafasi ya mwisho wamependelewa
Hapo ni swala la matumizi sahihi ya akili tu..Ukiwa nje utadhani iko rahisi...sio kweliii...!!urasimu wa serikaoi invest again ndio shida kubwa....wana business model nyingi sana lakini wana fail sababu tofautii nyingiii
Theory ni nyingi sana uhalisia ni kitu ngumu overhaul....yaendana cost pia uwe strategy recover hizo cost....Hapo ni swala la matumizi sahihi ya akili tu..
Na kwenda na watu wenye upeo mkubwa wa kifikra. Shirika linahitaji overhaul ya kweli kweli.
Wazembe sana hawaWengi ofisini wanasubiri mishahara tu