TTCL yatajwa ya mwisho ubora wa huduma

TTCL yatajwa ya mwisho ubora wa huduma

Kila mkurugenzi anayeingia anakuja na mipango yake. Mfano yule Kindamba alitaka TTCL iwekeze kotekote kuanzia calls, SMS, dat mpaka faiba majumbani nzuri zaidi ukimpa ushauri anajaribu hata kuufanyia. Ukimwambia kifurushi hiki ni kidogo hakifai kiongeze anajaribu kushugjulikia

Sasa huyu mkurugenzi mpya bwana Peter Ulanga yeye anataka mambo ya intaneti ya Faiba majumbani na maofisi tu hataki kusikia kuhusu mambo ya sms, vifurushi vipya wala T PESA yani hataki kusikia kabisa anawae faiba tu
Na hili ndio linatukwamisha sana kwenye mambo mengi, ni kama vile hatuna dira wala mwelekeo wetu. Katika nyanja ambazo zipo mbio sana kwakweli teknolojia inakimbia sana, ila ndip tupo nyuuma sanaa. Hii sio nzuri kabisa
 
Back
Top Bottom