TTCL yatajwa ya mwisho ubora wa huduma

Ofisa Mkuu wa Teknolojia na Ufundi wa Tigo, Emmanuel Mallya alisema ubora wa huduma ni matokeo ya uboreshaji walioufanya ndani ya takribani miaka miwili iliyopita.
Kama maboresho yamewafanya kuwa wa mwisho ina maana kabla ya maboresho hawakuwepo kabisa
 
Tatizo lao wakimuona mtu yuko straight wanampiga chini au majungu yanaanza
Sasa yule wa zamani kwanini walimbadilisha kama alikuwa vizuri?
Leo TTCL ndio ingekuwa na njia zote za simu nchi nzima na hao wengine wanailipa TTCL kwa kutumia njia zao
 
Karibu nyumbani

Kumenoga

Hawa walimpa nandy hela bure kabisa

Ova
 
Nafuu na hao ttcl kuna mbadala wananchi tunatumia mitandao mingine.
mbwa wa uhakika ni 👉Tanesco.
 
Ukiwa nje utadhani iko rahisi...sio kweliii...!!urasimu wa serikaoi invest again ndio shida kubwa....wana business model nyingi sana lakini wana fail sababu tofautii nyingiii
Hapo ni swala la matumizi sahihi ya akili tu..

Na kwenda na watu wenye upeo mkubwa wa kifikra. Shirika linahitaji overhaul ya kweli kweli.
 
Hapo ni swala la matumizi sahihi ya akili tu..

Na kwenda na watu wenye upeo mkubwa wa kifikra. Shirika linahitaji overhaul ya kweli kweli.
Theory ni nyingi sana uhalisia ni kitu ngumu overhaul....yaendana cost pia uwe strategy recover hizo cost....
 
huduma zote za serikali ni za mwisho ktk field yoyote ile elimu, afya, usafirishaji n.k ukitaka kuamini angalia viongozi watoto zao wanaposoma au wanapotibiwa
 
TTCL inaangushiwa zigo tu. Shirika la mwisho kwa ubora ni TANESCO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…