Kila mkurugenzi anayeingia anakuja na mipango yake. Mfano yule Kindamba alitaka TTCL iwekeze kotekote kuanzia calls, SMS, dat mpaka faiba majumbani nzuri zaidi ukimpa ushauri anajaribu hata kuufanyia. Ukimwambia kifurushi hiki ni kidogo hakifai kiongeze anajaribu kushugjulikia
Sasa huyu mkurugenzi mpya bwana Peter Ulanga yeye anataka mambo ya intaneti ya Faiba majumbani na maofisi tu hataki kusikia kuhusu mambo ya sms, vifurushi vipya wala T PESA yani hataki kusikia kabisa anawae faiba tu