Ikitokea mwanamke/mwanaume mlikuwa mna date kwa mda TU ukamchoka ila unamlia timing ya kuachana naye, ghafla siku Moja anakutumia sms "KUANZIA LEO TUACHANE " Utamjibu Nini, au kama iliwahi kukutokea ulimjibu nini??
Mimi jibu nitakalompa/nililowahi kujibu nikiliweka hapa Mods lazima wanipige Ban chap ( wanile kichwa