TUACHANE KUANZIA LEO

TUACHANE KUANZIA LEO

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Ikitokea mwanamke/mwanaume mlikuwa mna date kwa mda TU ukamchoka ila unamlia timing ya kuachana naye, ghafla siku Moja anakutumia sms "KUANZIA LEO TUACHANE " Utamjibu Nini, au kama iliwahi kukutokea ulimjibu nini??

Mimi jibu nitakalompa/nililowahi kujibu nikiliweka hapa Mods lazima wanipige Ban chap ( wanile kichwa

Nice sundays all!!
IMG_20250112_115908.jpg
 
Unamuomba mchango wa harusi yako wiki ijayo, "sawa yote kwa yote naomba sapoti yako nna jambo langu ijumaa ijayo"
 
Back
Top Bottom