Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

20250808_234153.jpg
 
Job, according na video zake alisema aliumwa sana baada tu yakuapishwa kuwa speaker …. alikuwa na Diabetic Neuropathy kwa muda tu inayopelekea kuwa na complication na kudevelop Cardiac Autonomic Neuropathy inayoenda kuathiri nerves zinazo control heart and blood vessels- it has High risk of sudden death
( Job alishakiri kuwa aliumwa sana )
Plus UKIMWI
 
Hatujadili magonjwa ya watu and it is not ethical , point ya huu uzi sio kujadili nani kafa na nini au nani anaumwa nini; point ni umuhimu wa public kujua viongozi wao Wa kuu wanasumbuliwa na long term disease za aina gani ili kuondoa Sintofaham. Kwa mfano , Wengi walijua JPM had pacemaker baada ya kufa, sasa huko sio sawa ni kukosea walipq kodi heshima… matokeo yake watu wanasema ametangulizwa, wamemuua and blah blah ….kama raia hawapo informed officially , je wazungumze nini

Hata Mwalimu inazushwa kama aliuliwa, hivo hivo Mkapa! , all these are conspiracy theories na ni comfort ya Watanzania maana they do not know what else to say

It’s bad mtu anatumia billion of kodi zenu na hamjui anything about him
Nadhani shida nyingine ni kwanini tunakosa transparency ya hii kitu ni kwasababu hawa viongozi hata kabla ya kushika nafasi hizo za juu tayari wanakuwa wameshapata changamoto za afya ambazo pengine zikiwa disclosed mapema wataonekana ni unfit kubeba hizo responsibilities. So ukiacha mambo mengine greedy nayo ina nafasi yake hapo.
 
Hata wagonjwa wana uwawa. Na wengine wazima wanapewa magonjwa.
 
Back
Top Bottom