Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Mwandishi kawa selfish kidogo, hakutaja remedies na life style!

Kuna magonjwa mengi hapo ni life style. Mtu akaaa masaa 8. Anakunywa pombe na nyama mafuta kila siku na hata hana mazoezi hakuna. Nani anathamini gym bongo? Au jogging at least one hour a day? From a V8 to a bar then home to sleep
Mtu anatoka kwenye ofisi yenye AC ,anaingia kwenye gari yenye AC anaelekea nyumbani kwake jioni hapo ,akifika anapumzika kwenye AC ..Hii ni ratiba ya siku 5 kwa wiki ,sio maisha kabisa hayo ni hatari sana.
 
Mtu anatoka kwenye ofisi yenye AC ,anaingia kwenye gari yenye AC anaelekea nyumbani kwake jioni hapo ,akifika anapumzika kwenye AC ..Hii ni ratiba ya siku 5 kwa wiki ,sio maisha kabisa hayo ni hatari sana.
Kwa Tanzania ukiwa na kitambi, umenenepa nenepa ni sifa.

Hata madaktari wewe hapa ni kama huyu aliyeandika hapa, badala ya kutibu ugonjwa anafanya hitimisho "aging process". Kwa mfano kile kifo cha Membe, nilipomsikia daktari anaongea nikajua huyu docta Hapana. Alimpima tu mapigo ya moyo akamwambia apumzika halafu arudi nyumbani. Mtu kaja anasema kabanwa kifua anashindwa kupumua na anasikia maumivu daktari anapima mapigo ya moyo na PB anamwambia upo sawa. Obvious ilikuwa moyo mishipa imeziba kiasi Fulani, daktari hakufikiria hilo, hata kufanya blood test tu!!
 
Alifa hoehahe ni Mpango wa Mungu, akifa Kiongozi ni Mkono wa Mtu!
 
Kwa Tanzania ukiwa na kitambi, umenenepa nenepa ni sifa.

Hata madaktari wewe hapa ni kama huyu aliyeandika hapa, badala ya kutibu ugonjwa anafanya hitimisho "aging process". Kwa mfano kile kifo cha Membe, nilipomsikia daktari anaongea nikajua huyu docta Hapana. Alimpima tu mapigo ya moyo akamwambia apumzika halafu arudi nyumbani. Mtu kaja anasema kabanwa kifua anashindwa kupumua na anasikia maumivu daktari anapima mapigo ya moyo na PB anamwambia upo sawa. Obvious ilikuwa moyo mishipa imeziba kiasi Fulani, daktari hakufikiria hilo, hata kufanya blood test tu!!
Medical system ya Tanzania now days pia imeharibika

Inatoa sana CHATGPT Doctors . Unaenda Hosp unampa symptoms then anazi pin kwenye CHATGPT…. anakupa dawa

Kama hujiongeze unauliwa before your time
 
Sio hata mali nyingi
We Mpe masikini akutunzie biashara
Alikulia Ugali na maharage na mboga za majani.

Akianza kukuibia tu anabadili na maisha kabisa
Kila jioni unamkuta anakula nyama choma kwa chips (mafuta kibao)

Akianza kunenepa ujue huyo tayari hachukui mda ana kufa
Na wengine hivyo hivyo
Wakinadili life styles zao tu Chali
ko kumbe hapo mlo mbaya ndo unaathiri afya ya mwili ee.
Daah mazoezi ni mhimu sana
 
ko kumbe hapo mlo mbaya ndo unaathiri afya ya mwili ee.
Daah mazoezi ni mhimu sana
Hebu fikiria kijana tangu anazaliwa na mpaka anakuwa anatembea kwa miguu siku zote
Anakula mboga za majani, Ugali
Yaani mwili umezoea hali hiyo.
Ghafla anabadili system na kuanza kula hovyo
Ananenepa ila yeye anaona ni ufahari na kujilinganisha na Tajiri anaekula tofauti tangu anazaliwa

Hapo kisukari miaka mitatu tu anakufa
 
Hebu fikiria kijana tangu anazaliwa na mpaka anakuwa anatembea kwa miguu siku zote
Anakula mboga za majani, Ugali
Yaani mwili umezoea hali hiyo.
Ghafla anabadili system na kuanza kula hovyo
Ananenepa ila yeye anaona ni ufahari na kujilinganisha na Tajiri anaekula tofauti tangu anazaliwa

Hapo kisukari miaka mitatu tu anakufa
daaah kweli ila, hapa nimejifunza kitu
 
Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.

Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na Chronic Venous Insufficiency ( CVI) ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.

My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation

Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu

Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na Pulmonary Carcinome ambayo ni aina ya kansa ya mapafu for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?

Mwalimu alianza na Acute Lymphoblastic Leukemie( ALL ) aina ya Kansa ya damu inayoanzia kwenye Bone Marrow and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu

Rais Mkapa alikuwa na Coronary Artery Disease aina ya Ugonjwa wa Mishipa ya Korona ya Moyo ambayo ukiziba kabisa unakupelekea heart attack…… ndo ile mtu anazima ghafla kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho

JPM alikuwa na Atrial Fibriatiion with slow Ventricular response yaani mapigo ya moyo yasiyorandana sambamba na umeme wa moyo( Cardiac Elecrical Condition System) iliyomlazimu kuwa na pacemaker for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu

Job, according na video zake alisema aliumwa sana baada tu yakuapishwa kuwa speaker …. alikuwa na Diabetic Neuropathy kwa muda tu inayopelekea kuwa na complication na kudevelop Cardiac Autonomic Neuropathy inayoenda kuathiri nerves zinazo control heart and blood vessels- it has High risk of sudden death
( Job alishakiri kuwa aliumwa sana )

Mtani wangu Cleopa Msuya. Mimi personally nimemuhudumia pale ORCI kwa kipindi kirefu na mpaka naondoka alikuwa bado anapata matibabu pale hadi kifo chake…je public ilikuwa inajua mzee anaumwa nini ; ? Msuya ametumia milions of public fund kama viongozi wengine na kodi za wananchi kwenye matibabu hadi anakufa, kuna anaejua mzee alikuwa anaumwa nini ? Is public aware, ? Mimi najua, wewe unajua ? It should not be a secret for as long as matibabu yake yapo Under public fund ! Kama angekuwa anatoa hizo hela privately MFUKONI mwake we do not have right to ask and it becomes PERSONAL

JK had Benign Prostatic Hyperplasia but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president had Benign Prostatic Hyperplasia

Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani la kiafya ?

Samia anatatizo gani la Kiafya ?

Majaliwa anatatizo gani la kiafya ?

Tulia anatatizo gani la kiafya !

Membe na Lowasa had a certain degenerative disease ambayo haikuwa public , however kwa lowasa ilikuwa ni Chronic mpaka akawa anapata zile Trembling

Apart from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!

Kwa mfano, kuna kipindi Mpango aliumwa akapotea kabisa kwa public… but alienda kwenye matibabu using public fund na mpaka leo hakuna anaejua Mzee anasumbuliwa na nini ; Yes it is personal but ni kiongozi mkuu wa umma na matibabu yake yanatumia kodi za wananchi, then why not public be concerned ?

Hivyo hivyo kuna kipindi Samia hakuonekana for a while, baadae Madam akajitokeza ila tukaambiwa
Alienda matibabu, the president spends a lot of public fund kwenye kila pumzi yake, so why public not be concerned kwenye Afya yake ?


Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, JPM, Mkapa etc…but hawa watu wanakuaga wanaumwa na wanafanya siri……Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..! Nchi isiendeshwe kihuni na kisela sela

So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well

Dr MNM
Canada
Benard membe na faustine ndugulile nao waliumwa nini
Vifo vyao vilikuwa ghafla
 
Huyu Kingai kwa sasa ndio DCI, inashangaza sana.

Tarehe 12/3/2021 Majaliwa alisema Magufuli ni mzima na anachapa kazi wanaosema ni mgonjwa wanalitakia taifa mabaya sababu wako nje ya nchi.

Tarehe 13/3/2021 alikamatwa mtu aliyesema Magufuli ni mgonjwa.

Tarehe 17/3/2021 Samia anatangaza Magufuli alikuwa mgonjwa na alilazwa tangu tarehe 6/3/2021

Watu waamini viongozi au wananchi na nani ni mzushi sasa?

Sasa hadi hapo umeshajua tatizo lilipo .?


View: https://youtu.be/EWL2pNqQzUc?si=rwUC0JkNVhfW-6Od
 
Hiyo style uliyokuja nayo ya kutambulisha magonjwa kwa viongozi inawezekana ni sahihi lakini kwa sasa si sahihi maana watanzania wana nongwa mno..
Wataanza kurushiana vipapai, wakikata moto inaonekana alikuwa mgonjwa..

Lakini hata hvo siyo tanzania tu ina huo utaratibu wa kuficha afya za viongozi hata nchi zingne wanazo..
Kwa hyo tanzania imechagua mlengo wa uficho.
 
Medical system ya Tanzania now days pia imeharibika

Inatoa sana CHATGPT Doctors . Unaenda Hosp unampa symptoms then anazi pin kwenye CHATGPT…. anakupa dawa

Kama hujiongeze unauliwa before your time
UMETOA SIRI YA KAMBI
 
Back
Top Bottom