Endeleeni tu ila kila mtu anajua mnaua.Negative
Aseme pia ni umeme wa KV ngapiMkuu pale kwenye umeme emu rudia tena
Nakubaliana na hoja yako, ya viongozi kuweka wazi changamoto zao za kiafya kwani afya zao zina maslahi ya nchi. Hata hivyo, umeeleza mifano mingi ya uongo uongo kwa kutumia terminologies ambazo sio sahihi kwenye medicine. Unaikosea sana hii Noble profession. Unasema Nyerere alikufa kwa Acute Lymphoblastic Leukemia, yet unasema alikaa na ugonjwa huo for long time. How can a disease be of acute onset yet mtu akakaa nao muda mrefu? What is the 5 year survival rate ya ALL?Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na Chronic Venous Insufficiency ( CVI) ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na Pulmonary Carcinome ambayo ni aina ya kansa ya mapafu for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic Leukemie( ALL ) aina ya Kansa ya damu inayoanzia kwenye Bone Marrow for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na Coronary Artery Disease aina ya Ugonjwa wa Mishipa ya Korona ya Moyo ambayo ukiziba kabisa unakupelekea heart attack…… ndo ile mtu anazima ghafla kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na Atrial Fibriatiion with slow Ventricular response yaani mapigo ya moyo yasiyorandana sambamba na umeme wa moyo( Cardiac Elecrical Condition System) iliyomlazimu kuwa na pacemaker for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job, according na video zake alisema aliumwa sana baada tu yakuapishwa kuwa speaker …. alikuwa na Diabetic Neuropathy kwa muda tu inayopelekea kuwa na complication na kudevelop Cardiac Autonomic Neuropathy inayoenda kuathiri nerves zinazo control heart and blood vessels- it has High risk of sudden death
( Job alishakiri kuwa aliumwa sana )
Mtani wangu Cleopa Msuya. Mimi personally nimemuhudumia pale ORCI kwa kipindi kirefu na mpaka naondoka alikuwa bado anapata matibabu pale hadi kifo chake…je public ilikuwa inajua mzee anaumwa nini ; ? Msuya ametumia milions of public fund kama viongozi wengine na kodi za wananchi kwenye matibabu hadi anakufa, kuna anaejua mzee alikuwa anaumwa nini ? Is public aware, ? Mimi najua, wewe unajua ? It should not be a secret for as long as matibabu yake yapo Under public fund ! Kama angekuwa anatoa hizo hela privately MFUKONI mwake we do not have right to ask and it becomes PERSONAL
JK had Benign Prostatic Hyperplasia but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president had Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani la kiafya ?
Samia anatatizo gani la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Membe na Lowasa had a certain degenerative disease ambayo haikuwa public , however kwa lowasa ilikuwa ni Chronic mpaka akawa anapata zile Trembling
Apart from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Kwa mfano, kuna kipindi Mpango aliumwa akapotea kabisa kwa public… but alienda kwenye matibabu using public fund na mpaka leo hakuna anaejua Mzee anasumbuliwa na nini ; Yes it is personal but ni kiongozi mkuu wa umma na matibabu yake yanatumia kodi za wananchi, then why not public be concerned ?
Hivyo hivyo kuna kipindi Samia hakuonekana for a while, baadae Madam akajitokeza ila tukaambiwa
Alienda matibabu, the president spends a lot of public fund kwenye kila pumzi yake, so why public not be concerned kwenye Afya yake ?
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, JPM, Mkapa etc…but hawa watu wanakuaga wanaumwa na wanafanya siri……Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..! Nchi isiendeshwe kihuni na kisela sela
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
1. hamna ulichoelewa! Umetamani tu kujibuNakubaliana na hoja yako, ya viongozi kuweka wazi changamoto zao za kiafya kwani afya zao zina maslahi ya nchi. Hata hivyo, umeeleza mifano mingi ya uongo uongo kwa kutumia terminologies ambazo sio sahihi kwenye medicine. Unaikosea sana hii Noble profession. Unasema Nyerere alikufa kwa Acute Lymphoblastic Leukemia, yet unasema alikaa na ugonjwa huo for long time. How can a disease be of acute onset yet mtu akakaa nao muda mrefu? What is the 5 year survival rate ya ALL?
Kuhusu Viongozi kuwa na historia ya magonjwa ya Kudumu Vs Conspiracy;
Kuwa na ugonjwa wa kudumu, haina maana kuwa lazima kifo kitokane na ugonjwa huo. A diabetic patient can die from poisoning au any form ya homicide just as the rest of the population. So, chronic disease yes ni risk kwa baadhi kupata Sudden cardiac death lakini sio MUST na haiwezi ku rule out other causes of sudden death like Homicides.
"Watu wazuri huwa hawafi"Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na Chronic Venous Insufficiency ( CVI) ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na Pulmonary Carcinome ambayo ni aina ya kansa ya mapafu for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alianza na Acute Lymphoblastic Leukemie( ALL ) aina ya Kansa ya damu inayoanzia kwenye Bone Marrow and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na Coronary Artery Disease aina ya Ugonjwa wa Mishipa ya Korona ya Moyo ambayo ukiziba kabisa unakupelekea heart attack…… ndo ile mtu anazima ghafla kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na Atrial Fibriatiion with slow Ventricular response yaani mapigo ya moyo yasiyorandana sambamba na umeme wa moyo( Cardiac Elecrical Condition System) iliyomlazimu kuwa na pacemaker for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job, according na video zake alisema aliumwa sana baada tu yakuapishwa kuwa speaker …. alikuwa na Diabetic Neuropathy kwa muda tu inayopelekea kuwa na complication na kudevelop Cardiac Autonomic Neuropathy inayoenda kuathiri nerves zinazo control heart and blood vessels- it has High risk of sudden death
( Job alishakiri kuwa aliumwa sana )
Mtani wangu Cleopa Msuya. Mimi personally nimemuhudumia pale ORCI kwa kipindi kirefu na mpaka naondoka alikuwa bado anapata matibabu pale hadi kifo chake…je public ilikuwa inajua mzee anaumwa nini ; ? Msuya ametumia milions of public fund kama viongozi wengine na kodi za wananchi kwenye matibabu hadi anakufa, kuna anaejua mzee alikuwa anaumwa nini ? Is public aware, ? Mimi najua, wewe unajua ? It should not be a secret for as long as matibabu yake yapo Under public fund ! Kama angekuwa anatoa hizo hela privately MFUKONI mwake we do not have right to ask and it becomes PERSONAL
JK had Benign Prostatic Hyperplasia but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president had Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani la kiafya ?
Samia anatatizo gani la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Membe na Lowasa had a certain degenerative disease ambayo haikuwa public , however kwa lowasa ilikuwa ni Chronic mpaka akawa anapata zile Trembling
Apart from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Kwa mfano, kuna kipindi Mpango aliumwa akapotea kabisa kwa public… but alienda kwenye matibabu using public fund na mpaka leo hakuna anaejua Mzee anasumbuliwa na nini ; Yes it is personal but ni kiongozi mkuu wa umma na matibabu yake yanatumia kodi za wananchi, then why not public be concerned ?
Hivyo hivyo kuna kipindi Samia hakuonekana for a while, baadae Madam akajitokeza ila tukaambiwa
Alienda matibabu, the president spends a lot of public fund kwenye kila pumzi yake, so why public not be concerned kwenye Afya yake ?
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, JPM, Mkapa etc…but hawa watu wanakuaga wanaumwa na wanafanya siri……Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..! Nchi isiendeshwe kihuni na kisela sela
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Sijasema Ndugai kauawa au laa. Ninachokueleza ni Medicine. Ni elimu ndogo tuu ya Forensic Pathology inayohitajika ili unielewe. Homicides or Natural death? Unatakiwa ufanye postmortem. And, why do you think kwamba viongozi hawawezi kuwa poisoned? Ukisoma Epidemiology ya Poisoning kwenye Forensic Pathology, utakubaliana nami kuwa, poisoning ni common cause of Sudden Death kwa viongozi.1. hamna ulichoelewa! Umetamani tu kujibu
2. Kama Unasema kuna mtu kawekewa Sumu, letq Ushahidi. Ukishindwa…. Please let it be Conspiracy….. watizedi mpo kwenye jela ya mawqzo na utumwa ndio maana kila kitu kwenu ni conspiracy, speculation na umbea
Mna baseless claim sana na
Mnajazana uongo sana
Soma tena Mada, you are out of itSijasema Ndugai kauawa au laa. Ninachokueleza ni Medicine. Ni elimu ndogo tuu ya Forensic Pathology inayohitajika ili unielewe. Homicides or Natural death? Unatakiwa ufanye postmortem. And, why do you think kwamba viongozi hawawezi kuwa poisoned? Ukisoma Epidemiology ya Poisoning kwenye Forensic Pathology, utakubaliana nami kuwa, poisoning ni common cause of Sudden Death kwa viongozi.
Kuhusu Ayubu, personally naamini itakua ni normal Sudden cardiac death possibly secondary to the chronic diseases ambazo amekua nazo. Postmortem itasema kweli.
Na Ayubu ndio kitu gani ?Sijasema Ndugai kauawa au laa. Ninachokueleza ni Medicine. Ni elimu ndogo tuu ya Forensic Pathology inayohitajika ili unielewe. Homicides or Natural death? Unatakiwa ufanye postmortem. And, why do you think kwamba viongozi hawawezi kuwa poisoned? Ukisoma Epidemiology ya Poisoning kwenye Forensic Pathology, utakubaliana nami kuwa, poisoning ni common cause of Sudden Death kwa viongozi.
Kuhusu Ayubu, personally naamini itakua ni normal Sudden cardiac death possibly secondary to the chronic diseases ambazo amekua nazo. Postmortem itasema kweli.
Kabisa enzi za mashangingi TZC wabunge na mawaziri wengi waligundulika na HIV lakini ikawa siri pale mnadani tulilewa na kula nyama choma ba baadae tunakamata mademu na kuwapiga mikasi....HAPO VP......Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na Chronic Venous Insufficiency ( CVI) ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na Pulmonary Carcinome ambayo ni aina ya kansa ya mapafu for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alianza na Acute Lymphoblastic Leukemie( ALL ) aina ya Kansa ya damu inayoanzia kwenye Bone Marrow and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na Coronary Artery Disease aina ya Ugonjwa wa Mishipa ya Korona ya Moyo ambayo ukiziba kabisa unakupelekea heart attack…… ndo ile mtu anazima ghafla kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na Atrial Fibriatiion with slow Ventricular response yaani mapigo ya moyo yasiyorandana sambamba na umeme wa moyo( Cardiac Elecrical Condition System) iliyomlazimu kuwa na pacemaker for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job, according na video zake alisema aliumwa sana baada tu yakuapishwa kuwa speaker …. alikuwa na Diabetic Neuropathy kwa muda tu inayopelekea kuwa na complication na kudevelop Cardiac Autonomic Neuropathy inayoenda kuathiri nerves zinazo control heart and blood vessels- it has High risk of sudden death
( Job alishakiri kuwa aliumwa sana )
Mtani wangu Cleopa Msuya. Mimi personally nimemuhudumia pale ORCI kwa kipindi kirefu na mpaka naondoka alikuwa bado anapata matibabu pale hadi kifo chake…je public ilikuwa inajua mzee anaumwa nini ; ? Msuya ametumia milions of public fund kama viongozi wengine na kodi za wananchi kwenye matibabu hadi anakufa, kuna anaejua mzee alikuwa anaumwa nini ? Is public aware, ? Mimi najua, wewe unajua ? It should not be a secret for as long as matibabu yake yapo Under public fund ! Kama angekuwa anatoa hizo hela privately MFUKONI mwake we do not have right to ask and it becomes PERSONAL
JK had Benign Prostatic Hyperplasia but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president had Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani la kiafya ?
Samia anatatizo gani la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Membe na Lowasa had a certain degenerative disease ambayo haikuwa public , however kwa lowasa ilikuwa ni Chronic mpaka akawa anapata zile Trembling
Apart from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Kwa mfano, kuna kipindi Mpango aliumwa akapotea kabisa kwa public… but alienda kwenye matibabu using public fund na mpaka leo hakuna anaejua Mzee anasumbuliwa na nini ; Yes it is personal but ni kiongozi mkuu wa umma na matibabu yake yanatumia kodi za wananchi, then why not public be concerned ?
Hivyo hivyo kuna kipindi Samia hakuonekana for a while, baadae Madam akajitokeza ila tukaambiwa
Alienda matibabu, the president spends a lot of public fund kwenye kila pumzi yake, so why public not be concerned kwenye Afya yake ?
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, JPM, Mkapa etc…but hawa watu wanakuaga wanaumwa na wanafanya siri……Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..! Nchi isiendeshwe kihuni na kisela sela
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Kuna mambo mengi kwenyw siasaKivip
Ni kweli, magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama saratani ya tezi dume, kisukari, na CVI yanasababisha 74% ya vifo duniani (WHO, 2023), huku Tanzania ikiona ongezeko la 25% kwa miaka 10 iliyopita (Tanzania NCD Alliance, 2022). Viongozi wana multiple factors zinazowafanya kuwa prone to disease kuliko watu wa kawaida. Viongozi wa Afrika wanaishi unhealthy life, wengi wao wakiwa wametoka kwenye maisha ya kifukara; sijui huwa ni nini kinawaingia. AC kwenye V8, sleeping pattern inakuwa a bit unknown, brain inakuwa active over 95% ya muda wote, vyakula visivyo na uwiano, na mtindo wa maisha usio na mazoezi unachochea hatari zaidi. Uwajibikaji wa viongozi juu ya afya zao ni muhimu kujenga imani ya wananchi.MAISHA
Mwandishi kawa selfish kidogo, hakutaja remedies na life style!Baadhi ya matatizo yanatokea kwa kupuuzia mambo , unajua nn!? kama hao viongozi na watumishi wa umma kwa ujumla ..Kulikuwa na taratibu za kufuatilia afya , elimu zinatolewa ila watu kama hawaelewi ...Mwishoe wanarudia mambo yale yale ; ulaji mbovu , life style mbovu,ulevi wa kupindukia , hakuna mazoezi .
Muda mwingine wanapuuzia hata ile regular check up ya kila mwaka , sijui pesa wanakula au wanafanyaje ...Ukweli ni kwamba watu wanaumwa sana kutokana na mtindo wa maisha .
Viongozi hasa wabunge wanaendekeza ngono na wengi wamepata ukimwi so ukiwa na ukimwi plus sukari na pressure unafikiri inakuaje ,Mwandishi kawa selfish kidogo, hakutaja remedies na life style!
Kuna magonjwa mengi hapo ni life style. Mtu akaaa masaa 8. Anakunywa pombe na nyama mafuta kila siku na hata hana mazoezi hakuna. Nani anathamini gym bongo? Au jogging at least one hour a day? From a V8 to a bar then home to sleep