cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂😂Tutajie wenye UKIMWI
😂😂😂😂😂Tutajie wenye UKIMWI
Baba Ndubwi njoo uchangie mada hukuBaadhi ya matatizo yanatokea kwa kupuuzia mambo , unajua nn!? kama hao viongozi na watumishi wa umma kwa ujumla ..Kulikuwa na taratibu za kufuatilia afya , elimu zinatolewa ila watu kama hawaelewi ...Mwishoe wanarudia mambo yale yale ; ulaji mbovu , life style mbovu,ulevi wa kupindukia , hakuna mazoezi .
Muda mwingine wanapuuzia hata ile regular check up ya kila mwaka , sijui pesa wanakula au wanafanyaje ...Ukweli ni kwamba watu wanaumwa sana kutokana na mtindo wa maisha .
Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 💔 cc Poor Brain ushakula kiapo Cha utii kwa mashia we mbamizwa kobaa?Kwa JPM si wambea wanadai mwamba black slim with gifted hands alibadilisha betri moja upande wa + kuangalia -
Akitakiwa apumzike!arelaxNimishawahi kushauri, ukifika 50 maximum, hakika huna maajabu tena kama ulikuwa 30 years kwenye utumishi au siasa. Ondoka mapema baki na heshima yako
Ndugai alikuwa anaumwa yupo above 60 , siasa tena za nini….. Spika analipwa had kufa. Yaani itabidi nifanye research hili eneo kuna uhusiano gani wa madaraka na brain addiction
Sidhan kama kweli Job alikuwa anagombà nia kwa ajili ya hela
Ndugai alienda India kutibiwa nini na faili lake alibaki nalo nani? Janabi?Kwani ugonjwa ndo kufa?
Na wewe una tatizo gani chronic kiafya ili ukidondoka ghafla wanafamilia tusishikane uchawi?Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo Mavumbini bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Yaani wewe upo USA na umejua wote hao walikuwa wanaumwa nini hadi vifo vyao halafu unalalamika kuwa ugonjwa wao ni Siri? Siri ipi na wakati yote unayajua?Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo Mavumbini bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Magonjwa ya mtapiamlo wa UbongoCAD, AF ,PC ndo nini?
Excellent post aisee…. Hatq viongozi wengine tu wka ujumla tz ukiwapima unaweza kukuta 40% wana shida z afya
ILA la cheusi mangala… dah 😂😂😂😂😆😆😆

Hata mi najua kuwa Kikwete alikatwa p um bu Kwa ajili ya matatibabu ya tezi Dume, mama Samia Sukari na BP ndo inamsumbua japo anacontrol vema etcNi kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo Mavumbini bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
PC= Pulmonary CarcinomaCAD, AF ,PC ndo nini?
Ni kweli,Nimishawahi kushauri, ukifika 50 maximum, hakika huna maajabu tena kama ulikuwa 30 years kwenye utumishi au siasa. Ondoka mapema baki na heshima yako
Ndugai alikuwa anaumwa yupo above 60 , siasa tena za nini….. Spika analipwa had kufa. Yaani itabidi nifanye research hili eneo kuna uhusiano gani wa madaraka na brain addiction
Sidhan kama kweli Job alikuwa anagombà nia kwa ajili ya hela
Ur right mfano ugonjwa wa JK dawa yake ni kukatwa pumb u, dawa na mionziNi kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo Mavumbini bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
😂Bado 3 nao sijui itakuwa ugonjwa 🤷Baadae wanakuja kusema tulimuonya hakutaka kutusikia wakati faili lake tunalo
Asante kwa muongozo mkuuPC= Pulmonary Carcinoma
CAD ni Cardiovascular Acute Danger
AF ni Atrial Fibrillation
DN ni diabetic Neuropathy
Baadhi ya matatizo yanatokea kwa kupuuzia mambo , unajua nn!? kama hao viongozi na watumishi wa umma kwa ujumla ..Kulikuwa na taratibu za kufuatilia afya , elimu zinatolewa ila watu kama hawaelewi ...Mwishoe wanarudia mambo yale yale ; ulaji mbovu , life style mbovu,ulevi wa kupindukia , hakuna mazoezi .
Muda mwingine wanapuuzia hata ile regular check up ya kila mwaka , sijui pesa wanakula au wanafanyaje ...Ukweli ni kwamba watu wanaumwa sana kutokana na mtindo wa maisha .
HamnaUmeme ukazima au ikapiga shoti?
halafu wengi wana Umeme ! One of the side effect ya dawa za umeme ni kuharibu vital organs but shida yao kuu majitu yanakaa kwenye AC home kwenye gari, lishe mbovu and all thatwengi miaka ni early 60 ila wamechoka sana , matumbo makubwa yaani hawaoni hata hatari yake.
Uko sahihi.. kwenye msosi mzee bora uvilime mwenyewe tuHamna
halafu wengi wana Umeme ! One of the side effect ya dawa za umeme ni kuharibu vital organs but shida yao kuu majitu yanakaa kwenye AC home kwenye gari, lishe mbovu and all that
Tuliwaambia ukiwa kiongozi simamieni misingi, mfano shirika kama TMDA TBS ni shirika lilipaswq kuwa na watu smart snaa. Na liwe full independent bila ya political interference. Haya mashirika ndio yamebeba Uhai wa watanzannia
Sadly kuna vyakula , dawa na takataka nyingi snaa mtaan zinazojaa supermarket na mafamasi na wao piawananunua
Pombe fake everywhere, na wao pia wanakunywa
Kule Moshi Rombo vijana kama mateja yaan miili imelika kwa pomme fake, no future kwa vijana. Pombe fake zinaingilia kule na kuzalishiwa kule . Ila wapuuzi wenye dhamana wanagonga meza tu
Regulatory Authorities zimeoza
Ingiza takataka zako, toa honga kesho bidhaa ipo sokoni na watu wanaifakamia
Mwisho wa siku na wao wanakula
Mkuu pale kwenye umeme emu rudia tenaIngiza takataka zako, toa honga kesho bidhaa ipo sokoni na watu wanaifakamia
Mwisho wa siku na wao wanakula