Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Hio CAD yaan Cardiovascular Acute Danger ni very dangerousAsante kwa muongozo mkuu
Hio CAD yaan Cardiovascular Acute Danger ni very dangerousAsante kwa muongozo mkuu
Watu wana mafaili ya wote na magonjwa yao ili wakipiga wanajua wanafumua wapi ili ugonjwa ufumuke mara 4 ya vile ulivyokua mwanzo😂Bado 3 nao sijui itakuwa ugonjwa 🤷
Asante mkuu nili-mismatch hizo spelling hapoCAD = Coronary Artery Disease ulikuwa full blocked ukampelekea heart attack pale Mzena
Prof MwandosyaHuo ndiyo ukweli
Kufichaficha
Jk aliweka wazi tatizo lake
Ova
Kiswahili chake not all are medical practitionersPC= Pulmonary Carcinoma
AF ni Atrial Fibrillation
DN ni diabetic Neuropathy
Yeye si yupo kwake mbeya,lufilyoProf Mwandosya
"Nyambhisambhisa ubhurweire, ekerro keramboora". aka Kufichaficha maradhi, kilio kitakuumbua.Huo ndiyo ukweli
Kufichaficha
Jk aliweka wazi tatizo lake
Ova
Anasahau sisi tumezoea kusikia uti, kansa, tezi dume n.kKiswahili chake not all are medical practitioners
In the context of a developing society, disentangling politics from expertise remains a challengeHamna
halafu wengi wana Umeme ! One of the side effect ya dawa za umeme ni kuharibu vital organs but shida yao kuu majitu yanakaa kwenye AC home kwenye gari, lishe mbovu and all that
Tuliwaambia ukiwa kiongozi simamieni misingi, mfano shirika kama TMDA TBS ni shirika lilipaswq kuwa na watu smart snaa. Na liwe full independent bila ya political interference. Haya mashirika ndio yamebeba Uhai wa watanzannia
Sadly kuna vyakula , dawa na takataka nyingi snaa mtaan zinazojaa supermarket na mafamasi na wao piawananunua
Pombe fake everywhere, na wao pia wanakunywa
Kule Moshi Rombo vijana kama mateja yaan miili imelika kwa pomme fake, no future kwa vijana. Pombe fake zinaingilia kule na kuzalishiwa kule . Ila wapuuzi wenye dhamana wanagonga meza tu
Regulatory Authorities zimeoza
Ingiza takataka zako, toa honga kesho bidhaa ipo sokoni na watu wanaifakamia
Mwisho wa siku na wao wanakula
Ugonjwa sio kufa. Kuna viongozi wakubwa tu mfano wanaishi na chronic disease na hadi sasa wapo hai. It is how you take Care of your chronic diseaseKwani ugonjwa ndo kufa?
😂😂😂😂😂 Acha kumzingua imamu wetu... Mwambie alete na Picha ya farasiKipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 💔 cc Poor Brain ushakula kiapo Cha utii kwa mashia we mbamizwa kobaa?
Karibia wote.Tutajie wenye UKIMWI
Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 💔 cc DIVISHENI FOO mbamizwa katumeni umeshakula kiapo Cha kumtii shia😂😂😂😂😂 Acha kumzingua imamu wetu... Mwambie alete na Picha ya farasi