Upo sahihi
Je ni nani kanyongwa au kuchomwa sumu ?
Huo ni mfano tu. Kwamba watu wanaumwa hakuondoi ukweli kuwa bado wanaweza kukolimbwa pia. Au nasema uongo?
Upo sahihi
Je ni nani kanyongwa au kuchomwa sumu ?
Ila baadhi ya familia imeshageuza siasa kama sehemu kubwa la kuingiza kipato katika familia zao.Machawa wanaweza kukusababisha ukasahau madhaifu yako kiafya.
Kuna muda ukifika hata siasa unaacha unawakabidhi kijiti kizazi kingine. Siasa sio chanzo cha mapato
Marehemu mwenyewe alikuwa janga, na ww pia.Wataje kwa majina
Mkuu umeongea jambo zuri sana, japokuwa umetumia terminology za kitaalamu sana,unge make it simple wengi tukajua kiundani ingekuwa vyema zaidi,,lkn pia sawa kila mtu ana maradhi eidha yanayosababishwa na bacteria,au tabia.lkn haiwezekani wote wakawa na chronic diseases!!Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Hilo suala lipo wazi maana hata wewe mwenyewe Boya ni mgonjwa japo haujitambui kama ni mgonjwa.Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Hebu turefushie hivyo vifupi tafadhaliNi kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.

Kumbe 😂😂 sisi la saba B katuchqnganya sanaTena kwa kitaalamu hiyo sio PC peke yake bali ni PCI ndio inaleta maana kirahisi
Percutaneous Coronary Intervention
Umesema ukweli sana!Kiongozi anayeamini kuwa anaweza kulindwa na majini utamshawishi vipi kuweka taarifa za afya yake public?
Anaamini washirikina wenzake wakiujua ugonjwa wake watapitia humohumo.
Wewe mtoto wa ****** tulizana baba yako kishakwenda fujo za nn?Hilo suala lipo wazi maana hata wewe mwenyewe Boya ni mgonjwa japo haujitambui kama ni mgonjwa.
Hoja ni juu ya unabii kwa nini wewe uendelee kuishi ilhali wengine wametabiriwa kufa
Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na CVI ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na PC for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic ( ALL ) for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu
Rais Mkapa alikuwa na CAD kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na AF with slow Ventricular response for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job alikuwa na DN kwa muda tu iliyopelekea hadi kuwa na complication kwenye Cardiovascular and that must have been the reason for his sudden death.
JK had BPH but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani chronic la kiafya ?
Samia anatatizo gani Chronic la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani chronic la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Usiniambie hawana shida ya kiafya, we know better na Kwa ambao mmeshafanya kazi za kudeal na wagonjwa , ukimuangalia tu mtu usoni na ngozi yake unajua some how anatatizo la kiafya. And a part from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!
Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, but hawa watu ni wagonjwa. Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..
So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada
Hivyo vifupi wengine sisi sio madaktariNi kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.

Upo sahihi ! Kwanini Viongozi wengi wana end up sana kwenye NCD? - Non Communicable DiseaseMkuu umeongea jambo zuri sana, japokuwa umetumia terminology za kitaalamu sana,unge make it simple wengi tukajua kiundani ingekuwa vyema zaidi,,lkn pia sawa kila mtu ana maradhi eidha yanayosababishwa na bacteria,au tabia.lkn haiwezekani wote wakawa na chronic diseases!!
Haya yote yanatoka wapi!!! Kwani kakusosea nini??Duh! Canada imekufanya nchi yako ulimozaliwa uiite "mavumbini" Dunia hii watu wamesoma na wamekuwa maarufu hawajawahi kuzitukana nchi zao bali kuzitumikia. We hiyo elimu ya kukariri haijakusaidia umekuwa mpumbavu zaidi ya ngedere km wacanada wanavyokuita. Ht huo utambulisho hapo chini na ili tujue uko Canada ni egoism isiyo na haja wala faida, kwani unatujua sisi wenzio tuko wapi sahv na tuna elimu zipi. We ni zaidi ya takataka.
Ungemwambia Job hivi angeona unamuonea. Angekuuliza kama hujamsikia Wassira mwenye 80+Nimishawahi kushauri, ukifika 50 maximum, hakika huna maajabu tena kama ulikuwa 30 years kwenye utumishi au siasa. Ondoka mapema baki na heshima yako
Hawa wengine ni kuwapotezea tu,stress zinawasumbuaHaya yote yanatoka wapi!!! Kwani kakusosea nini??
Unapata ujasiri wapi wa kumshabulia binadamu mwenzako kwa maneno yasiyo na staha hata kidogo, sisi hatujui fani yako ni hipi, lakini huyu mwenzako aliyo yasema humu tumejifunza mengi, tusiwavunje moyo wenye lengo zuri la kuelimisha binadamu wenzake.
Aligonganisha - na -Kwa JPM si wambea wanadai mwamba black slim with gifted hands alibadilisha betri moja upande wa + kuangalia -
Hahaha umenifanya nicheke Kwa SautiAligonganisha - na -