Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Duh! Canada imekufanya nchi yako ulimozaliwa uiite "mavumbini" Dunia hii watu wamesoma na wamekuwa maarufu hawajawahi kuzitukana nchi zao bali kuzitumikia. We hiyo elimu ya kukariri haijakusaidia umekuwa mpumbavu zaidi ya ngedere km wacanada wanavyokuita. Ht huo utambulisho hapo chini na ili tujue uko Canada ni egoism isiyo na haja wala faida, kwani unatujua sisiwenzio tuko wapi sahv na tuna elimu zipi. We ni zaidi ya takataka.
Punguza hasira mkuu, hakuna mkamilifu chini ya jua. Kaandika mengi yenye maana na faida kwetu tujikite kwenye yale yaliyo chanya.
 
Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.

Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na Chronic Venous Insufficiency ( CVI) ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.

My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation

Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu

Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na Pulmonary Carcinome ambayo ni aina ya kansa ya mapafu for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?

Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic Leukemie( ALL ) aina ya Kansa ya damu inayoanzia kwenye Bone Marrow for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu

Rais Mkapa alikuwa na Coronary Artery Disease aina ya Ugonjwa wa Mishipa ya Korona ya Moyo ambayo ukiziba kabisa unakupelekea heart attack…… ndo ile mtu anazima ghafla kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho

JPM alikuwa na Atrial Fibriatiion with slow Ventricular response yaani mapigo ya moyo yasiyorandana sambamba na umeme wa moyo( Cardiac Elecrical Condition System) iliyomlazimu kuwa na pacemaker for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu

Job, according na video zake alisema aliumwa sana baada tu yakuapishwa kuwa speaker …. alikuwa na Diabetic Neuropathy kwa muda tu inayopelekea kuwa na complication na kudevelop Cardiac Autonomic Neuropathy inayoenda kuathiri nerves zinazo control heart and blood vessels- it has High risk of sudden death
( Job alishakiri kuwa aliumwa sana )

Mtani wangu Cleopa Msuya. Mimi personally nimemuhudumia pale ORCI kwa kipindi kirefu na mpaka naondoka alikuwa bado anapata matibabu pale hadi kifo chake…je public ilikuwa inajua mzee anaumwa nini ; ? Msuya ametumia milions of public fund kama viongozi wengine na kodi za wananchi kwenye matibabu hadi anakufa, kuna anaejua mzee alikuwa anaumwa nini ? Is public aware, ? Mimi najua, wewe unajua ? It should not be a secret for as long as matibabu yake yapo Under public fund ! Kama angekuwa anatoa hizo hela privately MFUKONI mwake we do not have right to ask and it becomes PERSONAL

JK had Benign Prostatic Hyperplasia but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president has Benign Prostatic Hyperplasia

Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani la kiafya ?

Samia anatatizo gani la Kiafya ?

Majaliwa anatatizo gani la kiafya ?

Tulia anatatizo gani la kiafya !

Membe na Lowasa had a certain degenerative disease ambayo haikuwa public , however kwa lowasa ilikuwa ni Chronic mpaka akawa anapata zile Trembling

Apart from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!

Kwa mfano, kuna kipindi Mpango aliumwa akapotea kabisa kwa public… but alienda kwenye matibabu using public fund na mpaka leo hakuna anaejua Mzee anasumbuliwa na nini ; Yes it is personal but ni kiongozi mkuu wa umma na matibabu yake yanatumia kodi za wananchi, then why not public be concerned ?

Hivyo hivyo kuna kipindi Samia hakuonekana for a while, baadae Madam akajitokeza ila tukaambiwa
Alienda matibabu, the president spend alot of public fund kwenye kila pumzi yake, so why public not be concerned kwenye Afya yake ?

Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, JPM, Mkapa etc…but hawa watu wanakuaga wanaumwa na wanafanya siri……Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..! Nchi isiendeshwe kihuni na kisela sela

So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well

Dr MNM
Canada
Well narrated. You made a point.
 
Ndio ukweli wenyewe pale ikulu kuna gym. Katika ratiba yake ametenga muda wa mazoezi pia kuna swimming pool anaogelea mara kwa mara.

Kikwete anaenda gym siku moja moja, pia anayo tabia ya RIP Mwinyi anafanya mazoezi ya kutembea.
Najua Ikulu kuna Gym. Kama haikuwa tabia yake kufanya mazoezi

Unene ni chanzo cha magonjwa mengi
 
Ata Membe ilikuwa hivyo hivyo kama Ndugai mafua ya ghafla, pulmonary issues, mara chałi (haraka-haraka tu).

Huu ugonjwa wa ‘mafua ya ghafla’ wakati hali ya hewa jua kali upo serikalini tu.

Busara sasa hivi ukipata ‘mafua ya ghafla’ kimbia Agha-Khan waambie wakuweke under surveillance walau kwa 72 hours to rule out ‘nerve agent’ foul play.
Nawaza hii move ya ndugai, sio ya juma kaseja wala bi taarab.

Hii huenda ni team slow slow au mchezaji mwingine, aliye amua kucheza kete ya dharura ili game linoge.
 
Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.

Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na Chronic Venous Insufficiency ( CVI) ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.

My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation

Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu

Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na Pulmonary Carcinome ambayo ni aina ya kansa ya mapafu for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?

Mwalimu alikuwa na Acute Lymphoblastic Leukemie( ALL ) aina ya Kansa ya damu inayoanzia kwenye Bone Marrow for long time and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa…. but mwalimu was sick kwa muda tu

Rais Mkapa alikuwa na Coronary Artery Disease aina ya Ugonjwa wa Mishipa ya Korona ya Moyo ambayo ukiziba kabisa unakupelekea heart attack…… ndo ile mtu anazima ghafla kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho

JPM alikuwa na Atrial Fibriatiion with slow Ventricular response yaani mapigo ya moyo yasiyorandana sambamba na umeme wa moyo( Cardiac Elecrical Condition System) iliyomlazimu kuwa na pacemaker for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu

Job, according na video zake alisema aliumwa sana baada tu yakuapishwa kuwa speaker …. alikuwa na Diabetic Neuropathy kwa muda tu inayopelekea kuwa na complication na kudevelop Cardiac Autonomic Neuropathy inayoenda kuathiri nerves zinazo control heart and blood vessels- it has High risk of sudden death
( Job alishakiri kuwa aliumwa sana )

Mtani wangu Cleopa Msuya. Mimi personally nimemuhudumia pale ORCI kwa kipindi kirefu na mpaka naondoka alikuwa bado anapata matibabu pale hadi kifo chake…je public ilikuwa inajua mzee anaumwa nini ; ? Msuya ametumia milions of public fund kama viongozi wengine na kodi za wananchi kwenye matibabu hadi anakufa, kuna anaejua mzee alikuwa anaumwa nini ? Is public aware, ? Mimi najua, wewe unajua ? It should not be a secret for as long as matibabu yake yapo Under public fund ! Kama angekuwa anatoa hizo hela privately MFUKONI mwake we do not have right to ask and it becomes PERSONAL

JK had Benign Prostatic Hyperplasia but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president had Benign Prostatic Hyperplasia

Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani la kiafya ?

Samia anatatizo gani la Kiafya ?

Majaliwa anatatizo gani la kiafya ?

Tulia anatatizo gani la kiafya !

Membe na Lowasa had a certain degenerative disease ambayo haikuwa public , however kwa lowasa ilikuwa ni Chronic mpaka akawa anapata zile Trembling

Apart from that mtu ukishavuka 60 tu organ function zina decline, cell regeneration zina pungua , Chronic Inflamation zinamuandama, combination of biological aging and so forth!

Kwa mfano, kuna kipindi Mpango aliumwa akapotea kabisa kwa public… but alienda kwenye matibabu using public fund na mpaka leo hakuna anaejua Mzee anasumbuliwa na nini ; Yes it is personal but ni kiongozi mkuu wa umma na matibabu yake yanatumia kodi za wananchi, then why not public be concerned ?

Hivyo hivyo kuna kipindi Samia hakuonekana for a while, baadae Madam akajitokeza ila tukaambiwa
Alienda matibabu, the president spends a lot of public fund kwenye kila pumzi yake, so why public not be concerned kwenye Afya yake ?

Any one of those, akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion kama ilivyo kwa Job, JPM, Mkapa etc…but hawa watu wanakuaga wanaumwa na wanafanya siri……Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..! Nchi isiendeshwe kihuni na kisela sela

So Watizedi, tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well

Dr MNM
Canada
Pumbav za mahindi wewe mwenyewe ni Mgonjwa
 
Kazi ipo kwel, hata ukipata mali nyingi tu kupitia biashara, huwa magonjwa yanakua karibu cjui kwanin? Au ni mlo unaathiri?
Huwezi mkuta masikin akiugua mara kwa mara
 
Knowledge gap kwenye Afya and life style.

Why ni kwa africains zaid
 
Kazi ipo kwel, hata ukipata mali nyingi tu kupitia biashara, huwa magonjwa yanakua karibu cjui kwanin? Au ni mlo unaathiri?
Huwezi mkuta masikin akiugua mara kwa mara
Sio hata mali nyingi
We Mpe masikini akutunzie biashara
Alikulia Ugali na maharage na mboga za majani.

Akianza kukuibia tu anabadili na maisha kabisa
Kila jioni unamkuta anakula nyama choma kwa chips (mafuta kibao)

Akianza kunenepa ujue huyo tayari hachukui mda ana kufa
Na wengine hivyo hivyo
Wakinadili life styles zao tu Chali
 
Back
Top Bottom