Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Waambie wakuskie wanasema nawatukana sanaUncle bright
Braza Mimi ni mtumishi wa umma kwa muda wa miaka 11 (since 2012)
Nilianza chini sanaa kutoka ofisa wa chini sanaa mpaka sasa Nina haka la masters.
Ila pia ni mfanyabiashara kwa miaka mi 2 sasa (2021).
In nutshell:-
Ni Bora kubwa sanaa kujiajiri kwenye biashara kuliko ajira ya serikali.
Na muda mwengine najuta kwanini sikuanza biashara mapema.
Ajira na hasa hii ya serikali ni UFALER MKUBWA SANAAA.
#YNWA
Akili za kitumwa hizo.Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.
Mtu mwenye ajira hapa bongo serikalini ana nafuu zaidi maana mwisho wa mwezi mwajiriwa ana uhakika ila aliejiajiri ni juhudi zake, akipoteza mda imekula kwake.
Mwajiriwa hata akifiwa, akiumwa, akioa/kuolewa, anapewa kalikizo.. hapo kila jumamosi na jumapili yupo free, bado ana likizo ya mwezi moja kila mwaka, sherehe za serikali na za dini haendi kazini, Ana muda mwingi wa kuweza kupumzika na familia na kufanya shughuli za kijamii.
Wafanyabiashara wengi nawajua tangu nimepata akili za kuijua dunia mpaka leo hii wao siku ya kupumzika ni christmas tu, wenye nafuu huwa wanapumzika jumapili pekee, siku zingine hizo ni bampa to bampa wanaondoka alfajiri wanarudi usiku, yani hata muda wa kuspend na watoto hawana,
Ukiwa kwenye ajira unaweza kujiajiri pia
Nani mtumwa hapo
Unaweza ukajipangia kipato lakini hakitimii sasa ! 😁 Si inategemea na wateja wako, ambao hawaaminiki kama watabaki na wewe au watahamia kwa mwingine!Mimi nadhani ajira ni utumwa mkubwa, kwanini mtu akupangie kipato?
Unaweza ukawa umejiajiri na kujilipa kila siku, yaani mara 30 kwa mwezi, lakini jumla yake haimfikii anayelipwa mara moja kwa mweziKuajiriwa hakuna uhuru wa kipato kwa mwezi unalipwa mara1 na kwa mwaka mara12 labda upate bonus au ofa za xmass na mwaka mpya
Tena uombee uzima na nguvu kila siku. Lakini siku ukiugua ukalala kitandani wiki mbili tu, utaiona tofautiBinafsi nimeacha ajira yenye mshahara wa 1,050,000 Gross take home ilikuwa 830,750 niliacha nikafanga mishe zangu za kajiajiri Leo Nina staff 3 na maisha yanakwenda japo kuna maswala kadhaa nimepunguza kama matumizi yasio na ulazima kipato napata mpaka mara 3 ya mshahara wangu nilikuwa nakupata
Ukweli ndio huo. Kuna watu wengi sana walifunga biashara hapo katika awamu ya tano, lakini hatujasikia walioacha ajira awamu hiyo. Hiyo inaonyesha kwamba biashara sio kitu kinachotabirika kimapato, upepo mdogo tu unaweza ukakupoteza mjiniUtasikia Job Security
Hata uajiriwe na nani, ila kujiajiri ni Bora sanaaa.Inategemea uko wapi huko serikalini. Mimi hapa nipo najaza fomu ya ruhusa, tunaenda kujifungia huko nje ya mji ili tujilipe perdiem ndefu za nje ya mkoa. Kazi ya kufanya siku tano tumejaza wiki mbili. Tunakula kodi za wafanyabiashara waliojiajiri
Kumbuka pia wapo waliofunga biashara zao !Hata uajiriwe na nani, ila kujiajiri ni Bora sanaaa.
Wapo walioacha Kazi za mamilioni wakafungua biashara.
Kumbuka pia wapo waliofunga biashara zao !
Mambo yanakaa sawa ila ajira ni risk sana kuliko biashara ila biashara hata ikipata anguko Kuna dalili utaziona mapemaTena uombee uzima na nguvu kila siku. Lakini siku ukiugua ukalala kitandani wiki mbili tu, utaiona tofauti
PaleeObservers tunakaa wapi tuone mtanange??
Sasa ndugu yangu mbona watu wanafukuzwa kazi mara nyingi tu tena kuna watu walitolewa kama wafanyakazi hewa, wengine ofisi zinapunguza wafanyakaz etcTena uombee uzima na nguvu kila siku. Lakini siku ukiugua ukalala kitandani wiki mbili tu, utaiona tofauti
Na ukifanikiwa unaogopa kuibiwa na kuuwawa.Kujiajiri hupelekea kila siku unaumiza kichwa na kupata pressure za ajabu ajabu juu ya biashara yako. Ndo maana wengi wao huzeeka mapema.
Hali kadhalika mawazo na hofu juu ya mwenendo na maendeleo ya biashara yako.
Kujiajiri kumesababisha watu wengi sana kuwa wachawi kwa ajili ya kuboresha vipato vyao.
Kujiajiri ni safari ya kupanda na kushuka, na pia haieleweki na hata Maendeleo ya watu wake hayaeleweki pia.
Na kikukweli wengi waliojiri ndio watumwa wa biashara zao.
Ndio uone jinsi kuajiriwa kulivyo kuzuri. Hata wasio na vyeti, wanafoji ili mradi tu waajiriwe. unadhani ni kwa nini mtu asiye na cheti hataki kujiajiri?Sasa ndugu yangu mbona watu wanafukuzwa kazi mara nyingi tu tena kuna watu walitolewa kama wafanyakazi hewa, wengine ofisi zinapunguza wafanyakaz etc
hauko serious we jamaa
ulitaka watu wote waajiriwe hakuna maisha ya hivioKuna kipimo sasa.
Nawajua watu kibao tangu wakiwa vijana hadi sasa ni wazee kujiajiri kumewakunja kweli kweli.
Wewe fikiria hivyo. Wakati namaliza chuo niliwqza sana hili. Nina maendeleo makubwa sana kama ningekubali kuajiriwa nisingekuwa nayo. Acha kuwa muoga. .Ndio uone jinsi kuajiriwa kulivyo kuzuri. Hata wasio na vyeti, wanafoji ili mradi tu waajiriwe. unadhani ni kwa nini mtu asiye na cheti hataki kujiajiri?
akili za kijinga kabisa ulitaka wote waajiriwe au ilidhani kujiajili hakuna changa moto tambua kazi kubwa kuliko yote duniani nikuzalisha hela na kuishi kwa kutumia fwaida na kukuza mtajiKujiajiri hupelekea kila siku unaumiza kichwa na kupata pressure za ajabu ajabu juu ya biashara yako. Ndo maana wengi wao huzeeka mapema.
Hali kadhalika mawazo na hofu juu ya mwenendo na maendeleo ya biashara yako.
Kujiajiri kumesababisha watu wengi sana kuwa wachawi kwa ajili ya kuboresha vipato vyao.
Kujiajiri ni safari ya kupanda na kushuka, na pia haieleweki na hata Maendeleo ya watu wake hayaeleweki pia.
Na kikukweli wengi waliojiri ndio watumwa wa biashara zao.
Ameweka comparison yake, wala hajasema kila mtu aajiriwe. Hebu soma mtiririko wa post za uzi, utaona ni kwa nini ameandika hivyo. By the way, kwani si kweli kwamba mtu anayejiajiri analazimika kuumiza kichwa chake kuhusu biashara yake?akili za kijinga kabisa ulitaka wote waajiriwe au ilidhani kujiajili hakuna changa moto tambua kazi kubwa kuliko yote duniani nikuzalisha hela na kuishi kwa kutumia fwaida na kukuza mtaji
Maana yake we ni muoga wa maisha, unatumika miaka 30+ unasubiria mafaoUkweli ndio huo. Kuna watu wengi sana walifunga biashara hapo katika awamu ya tano, lakini hatujasikia walioacha ajira awamu hiyo. Hiyo inaonyesha kwamba biashara sio kitu kinachotabirika kimapato, upepo mdogo tu unaweza ukakupoteza mjini