Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

Unaoa matako au mwanamke🤔
 
Ndio maana mabinti wengi wanaenda kuongeza shape, wanadhani tako litamfanya mwanaume adumu na wewe. Mwanaume akishakuzoea anakuona wa kawaida sana kama huna added value kwenye maisha yake.
Kumbe mnajua kabisa kuwa tukishawadinya tunaanza kiwaona wa kawaida. Sasa malalamiko ya nini tukichepuka?
 
Halafu akili zao huwa ziko matakoni
 
Matako flan ivi kama widebody hellcat sijui mnanielewaaaa?? 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…