Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu!



Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa!

Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi wanawake wenye makalio makubwa?,Ukiona mwanaume wa kiafrika hapendi mwanamke mwenye makalio makubwa huyo atakuwa na kibamia!,Lakini siye wengine wenye inch kuanzia 5 na kuendelea lazima hayo matukuyema tunayapenda.

Raha ya Mwanamke ni matako,Matako yanaleta hisia na mshawasha,Mwanamke asiyekuwa na matako makubwa ni sawa na chai (Strungi) isiyo kuwa na viungo!. Kama Mwanamke umeumbwa bila kuwa na Makalio makubwa wala usijisikie Vibaya,wewe tafuta wazungu kwasababu ndiyo huwa wanapenda hizo type kama yako,lakini wanaume wa kiafrika tunapenda wanawake wenye wezere a.k.a wowowo!.


Huu uzi nadhani ni kwaajili ya wenye wowowo kama FaizaFoxy ,nyie miko ya pilau mpite kwa kunyata!
Unaoa matako au mwanamke🤔
 
Ndio maana mabinti wengi wanaenda kuongeza shape, wanadhani tako litamfanya mwanaume adumu na wewe. Mwanaume akishakuzoea anakuona wa kawaida sana kama huna added value kwenye maisha yake.
Kumbe mnajua kabisa kuwa tukishawadinya tunaanza kiwaona wa kawaida. Sasa malalamiko ya nini tukichepuka?
 
Sio kweli ndugu, sio kila mwanaume anavutiwa na makalio makubwa, mfano mmoja wapo ni mimi, kwanza huwa nahisi ni wanawake wachafu, pili huwaona kama ni malaya sana, tatu naona kama makalio yanazuia kimpata kisawasawa wakati wa kuchakata.
Haiwezekani kabisa wanaume wote kupenda aina flani ya mwanamke.
Halafu akili zao huwa ziko matakoni
 
Matako flan ivi kama widebody hellcat sijui mnanielewaaaa?? 😅
 
Back
Top Bottom