Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

Ndio maana kuna Agano la Kale na Agano Jipya,

Laana ya mauti ya Kimwili hakufanya lolote.

Wewe Bible unaisomaje unaielewa kweli au unaishabikia tu?

Aliyekuambia kuna agano jipya na agano la kale ni Nani?
Hapo ndio utajua mimi nashabikia Biblia au ninaielewa.

Biblia ni Teolojia, teolojia ni Falsafa. Falsafa ni love of Wisdom.
Sasa Kama huna akili za kukutosha Biblia itakusumbua.

Haya nijibu swali langu hapo juu!
Nani aliyekuambia kuna agano la kale na agano jipya?
 
Aina 7 za laanahttps://youtu.be/ZpZBku9v9Zw
 
Sasa unataka tuhame kutoka kwenye ligi moja tuhamie kwenye ligi nyingine mbon hauna msimamo?

Nmekwambia wewe ni shabiki wa Bible ila huijui Bible vizuri endelea kua mshabiki
 
Sawa ni laana, na wapo masikini wanaomcha Mungu vya kutosha Na hata akipata kidogo anapeleka chote kanisani/msikitini na bado anabaki kua masikini
 
Zipo aina saba za laana
Laana ya
1.Jina
2.Mzazi
3.Ardhi
4.Kabila
5.Taifa
6.Bara
7.Ukoo
 
Sasa unataka tuhame kutoka kwenye ligi moja tuhamie kwenye ligi nyingine mbon hauna msimamo?

Nmekwambia wewe ni shabiki wa Bible ila huijui Bible vizuri endelea kua mshabiki

Wewe ndio unayeibua hoja mpya,
Sijajua Kama ni mzoefu wa mijadala ya kujenga hoja.
Wewe ndiye umeleta hoja ya sijui agano la kale na agano jipya.
Ndio nikakuuliza sasa Nani aliyekuambia hayo maneno au umesoma wapi kitu Kama hicho?

Je unajua yapo maagano mangali ndani ya Biblia?

Kama hutaki hoja mpya basi usianzishe hoja mpya Kama huwezi kuzitetea au kuziunganisha na hoja kuu uliyoko mezani.
 
Ndipo yesu akawaambia ''Ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mungu''
hivi alimaanisha nini hapa??
Huu mstari unatumiwa vibaya na masikini kwa kujifariji kwamba watauona ufalme wa Mungu sababu wao ni masikini.
 
Haya tiririka wewe hayo maagano yaliyopo kwenye Bible moja baada ya jingine maana mimi nishamaliza na nmekuandikia umeyaona ukahoji sasa wewe inabidi uonyeshe hayo maagano yako unayoyajua yaliyopo kwenye Bible
 
Inasaidia wengi tunashukuru kama utakuja na options za kutoka kwenye umaskini japo umeelezea kwa jumla
Kabisa hujui ‘options' za kujikwamua na umasikini?

Hakika wewe na wote wa aina yako ni wale masikini wa akili, hii ni mbaya zaidi na ndio wengi.
 
Huu mstari unatumiwa vibaya na masikini kwa kujifariji kwamba watauona ufalme wa Mungu sababu wao ni masikini.
Bible haisomwi km unavyosoma kitabu cha Kalumekenge Alikataa Kwenda Shule

Bible ni neno na chakula cha kiroho sio chakula cha mwili
 
Haya tiririka wewe hayo maagano yaliyopo kwenye Bible moja baada ya jingine maana mimi nishamaliza na nmekuandikia umeyaona ukahoji sasa wewe inabidi uonyeshe hayo maagano yako unayoyajua yaliyopo kwenye Bible

Ninyi ndio mnasema kuna amri 10 za Mungu 😂😂

Kama upo kwenye level hii naona siwezi kujadiliana na wewe Kwa muda huu.

Subiri mada nyingi nitakapoanzisha.

Siku nyingine ukiona mada yoyote inayohitaji Ujuzi na Uelewa mkubwa usianzishe hoja pasipo kuwa na uwezo wa kutetea na kuithibitisha in a logical way.

Unasema agano la kale na jipya Kwa kukaririshwa.
 
Wewe najua unasema kuna amri 9 za Mungu sijakusahau

Tiririka..
 
Laana na baraka za mtu yeyeto zipo kwenye maneno ya kinywa chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…