Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Na wewe acha kua mshabiki ikiwa haukijui vizuri kitu unachokishabikia
Sawa. Naomba niishie na wewe hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe acha kua mshabiki ikiwa haukijui vizuri kitu unachokishabikia
Umeniwahi,hata mi nilitaka nimuulize hivyo.Wewe ni msabato au mpentekoste?
Wewe taja amri pekee za MUNGU unazozifahamu wewe kwa uelewa wakoKwa hiyo ndio ukaambiwa hizo ndio amri pekee za MUNGU?
Umeniwahi,hata mi nilitaka nimuulize hivyo.
Hawa nao ni kundi jingine la wajinga ambao humeza vitabu vya biblia kama vilivyo bila hata kuomba ushauri kwa (daktari) wataalamu wa biblia!
Shwaini!
Mimi swali langu ni lilelile,MASIKINI UNAYEMZUNGUMZIA HAPO NI NANI?
(maana kwa mtazamo wako,watu wote duniani ni maskini au wote wana laana)
Wewe taja amri pekee za MUNGU unazozifahamu wewe kwa uelewa wako
Sawa ni laana, na wapo masikini wanaomcha Mungu vya kutosha Na hata akipata kidogo anapeleka chote kanisani/msikitini na bado anabaki kua masikini
Ametudanganya na kuamua kututisha sana.Na hii ni mbinu ambayo hutumiwa na baadhi ya makanisa au wahubiri ili kumlazimisha mshirika alishike neno pasi utashi binafsi.
Twende kwa mifano kabisa,
Kuna mtu leo anaanzisha kazi/mishe flani anaangukia pua,kesho vile vile mishe zake zinafeli lakini unashangaa kesho kutwa akianzisha mishe nyingine tofauti inamtoa.Kumbuka hiyo mishe/kazi inayomletea mafanikia inatiki bila hata yeye kubadili mienendo yake,labda zaidi anaongeza bidii ktk utafutaji.Sasa twambie hapo anayekuwa ameondoa laana iliyokuwepo mwanzo ni nani??
Ok,mbona mi namudu milo yote mitatu,hata minne.Nyapu nanunua,myama nachomesha nguo nanunua mpya,simu ninayo vocha bado napata,sadaka natoa watoto wanasoma shule n.kKama hukwenda shule hiyo sio kazi yangu Kueleza maana ya Dhana ndogo Kama hiyo.
Muulize mtoto wa Kidato cha tatu masikini ni nani
Ok,mbona mi namudu milo yote mitatu,hata minne.Nyapu nanunua,myama nachomesha nguo nanunua mpya,simu ninayo vocha bado napata,sadaka natoa watoto wanasoma shule n.k
Ila sina gari,sijajenga ninashamba dogo(yaani similiki vitu vikubwa) hivyo mtaani sihesabiki kwa matajiri,je nahiyo ni laana?
Ndiyo maana nikasema,kwa mtazamo wako hakuna masikini kwani walio wengi hapa Tanzania wanakula,wanalala n.k au basi wote ni masikini kwani wewe unataka wamiliki vitu unavyovitaka wewe!!
Tuendelee tu unakimbia nini sasa wewe si ndio umeanzisha uzi au umetosheka kushabikia kitu usichokifahamu vizuri?Sawa. Naomba niishie na wewe hapa
Tuendelee tu unakimbia nini sasa wewe si ndio umeanzisha uzi au umetosheka kushabikia kitu usichokifahamu vizuri?
Ukisoma
Hagai 2:8
MUNGU anasema..
"Fedha na Dhahabu ni Mali yangu"
Mimi na wewe ni watoto wa MUNGU (hata km ukikataa)
Mathayo 7:10
Yesu anasema 'ni yupi baba ambae mwanae atamuomba samaki kisha yeye akampa nyoka..'
MUNGU hakukuumba wewe ili uwe masikini.
Ni wewe mwenyewe ndie unaeamua kipi uache na kipi uchukue.
Umeruhusiwa kuchagua kati ya Jema au Baya.
Kwa hio wale wooote wenye wanaitwa jina la Adamu hapa duniani wote wana laana?Laana ya Umasikini au mafanikio ya mtu yeyeto asili yake ni yafuatayo.
1.Nguvu ya jina lake.
2.Ardhi au mazingira aliyomo.
3.Nguvu ya imani yake.
4.Talanta au Kipawa chake
5.Watu anaohusiana nao
6.Elimu/maarifa
Basi ushajaa kwenye 18 zangu tufunge mjadara 'case closed'Kwani Nani amesema umeumbwa ili uwe masikini au ili uwe Tajiri.
Mungu ameweka uchaguzi wa Laana na baraka.
Umasikini na Utajiri
Giza na nuru.
Wewe ndio unaamua uchague wapi.
Lakini wapo wanajikuta wamezaliwa katika Laana, wapo wamejikuta wamezaliwa katika baraka.
Wapo waliojikuta wamezaliwa katika nuru na wapo kwenye Giza.
Ni uamuzi wao kuendelea kuishi humo au kuondoka.
Ila umasikini upo upande wa Laana kama kilivyo Kifo
Basi ushajaa kwenye 18 zangu tufunge mjadara 'case closed'
Ushakubari kumbe UMASIKINI SIO LAANA
Sema tena
Umasikini sio ......
Wewe ni msabato au mpentekoste?
Kwako wewe na walimu wako wa kiroho umasikini ni laanaUmasikini ni laana we akili mbili kasoro.
Umasikini ni laana we akili mbili kasoro.