Tuache kujichubua

Ya leo hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona Ombeni anavyoingia chooni[emoji23][emoji23][emoji23]
Bi Ubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji38][emoji38][emoji38]ombeni analo leo.. ila Bi ubwa ni mswahili jamani sasa ndo nini kuogea vyoo vya kazini
 
[emoji2][emoji2][emoji2]bi ubwaa!!

Nimecheka huyo mzee milanzi anamwimbia mkewe eti asiyejua kusoma nimjinga kabisa barua ikija huitembeza kutwa[emoji2][emoji2]

Ahhah anajifunza kusoma
 
Reactions: ABJ
Naona leo Tausi atamwambia Masalu kuhusu ile cheni ya Msichoke aliyoivaa,ambayo alishawahi muona nayo kaka yake miaka ya nyuma

Si ajabu Masalu ataenda kweli huko msituni kufuatilia.
Mnakumbuka kabla haijaanza zahanati, walikuwa wanarusha clip fulani inatisha tisha..
OMG Masalu asije tu kupotea jamani[emoji3064]
 

Niemcheka Bi ubwa kaenda kufua hospital na kuoga bafu la umma [emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka leo
Halaf omben akatoka ndani,nje amekaa Ghati na mbiti,omben alikuwa anakohoa anaenda zake
Mbiti akasema hivi mzima kweli huyuu ,ghat akajibu huo uzi na autolee wapi kutwa kuongozana na bibi kizee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wana maneno hawa?
Mbiti eee amedhoofika hivi hajui habari ya mauja,ghat anajibu anajua sana kujifanya kichwa ngumu tu
Sasa omben na mauja wanaenda nyumban wamesimama wanaagana kimahaba wakapita mabinti wakawacheka kwa sauti kuwacheka kina omben
Kina omben na mauja nao wakacheka kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan hawajalii ila omben anafurahisha sana anavyoongea [emoji23][emoji23]
 

Ina maana atakuwa kaka ake Tausi?
 
Ombeni anaongea vizuri [emoji23]
Bi Ubwa ni kichomi sana yule mama


Sema Mauja ana miguu mizuri.
 
Ombeni anaongea vizuri [emoji23]
Bi Ubwa ni kichomi sana yule mama


Sema Mauja ana miguu mizuri.
Nimecheka sana leo wakianza umbea sasa hadi raha ghat anagombana na bi ubwa lakin ni team moja tu wanapatana
Kuna wanaambizana hee mbona mwenyekiti haonekani halaf wakacheka
Ya leo mwenyekit anakuja wanakimbia hao πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ina maana atakuwa kaka ake Tausi?
Ile cheni ilikuwa ya kaka yake Tausi
Si uliona Tausi alivyokuwa anakumbuka matukio,alimuomba kaka yake..

Sasa Tausi akashangaa kuiona kwa Msichoke,
Na mama yake Msichoke akasema Msichoke anakipenda sana,aliokota porini miaka kama mitano nyuma.

Na kaka yake Tausi Toka ameondoka miaka mitano nyuma,hajarudigi kwao..
Ndo maana Tausi ana mawazo.


Sasa mchezo wa leo naona Tausi ataenda kumwambia Masalu .
 
Nimecheka sana leo wakianza umbea sasa hadi raha ghat anagombana na bi ubwa lakin ni team moja tu wanapatana
Kuna wanaambizana hee mbona mwenyekiti haonekani halaf wakacheka
Ya leo mwenyekit anakuja wanakimbia hao [emoji23][emoji23]
Bi Ubwa na fuko lake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema mimi alinichekesha ya juzi slivyofika na lile fuko.
Wanamwambia shkamoo anajibu shkamoo mwenyewe..
Eti umebeba nini?anasema nimebeba nywele zako[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ina maana atakuwa aliuawa huko porib ngoja tusubiri tutajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…