Niemcheka Bi ubwa kaenda kufua hospital na kuoga bafu la umma [emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka leo
Halaf omben akatoka ndani,nje amekaa Ghati na mbiti,omben alikuwa anakohoa anaenda zake
Mbiti akasema hivi mzima kweli huyuu ,ghat akajibu huo uzi na autolee wapi kutwa kuongozana na bibi kizee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wana maneno hawa?
Mbiti eee amedhoofika hivi hajui habari ya mauja,ghat anajibu anajua sana kujifanya kichwa ngumu tu
Sasa omben na mauja wanaenda nyumban wamesimama wanaagana kimahaba wakapita mabinti wakawacheka kwa sauti kuwacheka kina omben
Kina omben na mauja nao wakacheka kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan hawajalii ila omben anafurahisha sana anavyoongea [emoji23][emoji23]