Tuache kumlaumu Refa Kayoko kama kichaka cha kufichia Udhaifu wa Simba SC, kuanzia kikosi chake na aina ya uongozi wake

Sasa kaka mkubwa umeanza kupagawa
4 times and you want to blame yanga you must be joking, so is it means young african they are corrupt even caf.. coz the last year simba played caf champion league and now federation so they drop, even in our home league the same, this means they are now not like before.. i think simba sport club they have to notice where they fail and not always to blame coz football is changing now if no competition no development..
 
Sure mkuu. Tatizo letu watanzania ni kutafuta sababu za kuokoteza okoteza. Nimemsikia anayejiita Dr Mohamed eti anadai TFF inapokea maelekezo kutoka yanga! Kayoko ameteuliwa na yanga kuwa refa wa mechi hii!
Yule anayejiita Dr Mo ni aina ya wale mashabiki Wenye akili za kindezi ndezi, wanapenda na matokeo yao mfukoni pengine mhanga wao anakuwa amewaaminisha wanaenda kushinda mechi, sasa wanapokutana na utofauti ndio hivyo wanabwabwaja kama wamekatika vichwa, utashindaje mechi na wachezaji wako viwango ni vidogo? Quality ya yanga kwa sasa ni kubwa uwezi kuwaendea kichwakichwa kwa kutegemea maelekezo ya sangoma ukawashinda kirahisi watakupasua na mganga wako!
 
4 times and you want to blame yanga you must be joking, so is it means young african they are corrupt even caf.. coz the last year simba played caf champion league and now federation so they drop, even in our home league the same, this means they are now not like before.. i think simba sport club they have to notice where they fail and not always to blame coz football is changing now if no competition no development..
Wewe ungeongea kiswahili tu ama nawe ni diaspora😀
 
4 times and you want to blame yanga you must be joking, so is it means young african they are corrupt even caf.. coz the last year simba played caf champion league and now federation so they drop, even in our home league the same, this means they are now not like before.. i think simba sport club they have to notice where they fail and not always to blame coz football is changing now if no competition no development..
Wewe jamaa ungekuwa unaishi England, hakika ungefika mbali sana kwenye hii lugha! Maana unaonekana una kitu. Hivyo hutakiwi kupuuzwa hata kidogo. Comrade, wewe ni jasiri sana.
 
Pamoja na Yanga kutuzidi uwezo, refa wa jana alikua tatizo mkuu...

Siwezi kulaumu sana maana haibadilishi chochote ila kuna clear penati mbili alipeta...

Tujipe muda naona kikosi kinaimarika, tujitahidi tu dirisha kubwa Mutale na Mukwala wasibaki.
 
Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?
Ningeweza kuweka tick na kukushukuru Kwa andiko zuri. Lakini Kwa heshima yako acha nichangie.
Mentality iliyokengwa na viongozi wa Simba na Sasa wamefanikiwa kuiinject kwenye akili za mashabiki wao ni hii ya kuamini timu iko vizuri ikifungwa ni hujuma aidha za waamuzi au Wachezaji.
Simba ilipofungwa 5 Mbuzi wa kafara alikuwa Manula, Mechi iliyopita Mwamuzi alitwishwa mzigo. Mechi ya Jana ndo kabisaa, watuhumiwa wameongezeka.
1.Kipa Camara
2.Mwamuzi Kayoko.
Tuhuma hizi hazitolewi na mashabiki pekee lkn pia bàadhi ya viongozi tena wengine waandamizi kwenye usajili kama Cresantius Magori. Hapa huoni lawama yoyote Kwa viongozi na hiki ndo wanachotakq maana ndo salama yao.
 
Pamoja na Yanga kutuzidi uwezo, refa wa jana alikua tatizo mkuu...

Siwezi kulaumu sana maana haibadilishi chochote ila kuna clear penati mbili alipeta...

Tujipe muda naona kikosi kinaimarika, tujitahidi tu dirisha kubwa Mutale na Mukwala wasibaki.
Ukiyaona madhaifu ya refa kwa kuibeba Yanga inabidi pia uyaone madhaifu ya refa ambayo yaliinufaisha Simba. Na huo ndio uanamichezo.
 
Back
Top Bottom