GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea point tupu; atakayekubishia mimi nitavaana naye.Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?
4 times and you want to blame yanga you must be joking, so is it means young african they are corrupt even caf.. coz the last year simba played caf champion league and now federation so they drop, even in our home league the same, this means they are now not like before.. i think simba sport club they have to notice where they fail and not always to blame coz football is changing now if no competition no development..Sasa kaka mkubwa umeanza kupagawa
Yule anayejiita Dr Mo ni aina ya wale mashabiki Wenye akili za kindezi ndezi, wanapenda na matokeo yao mfukoni pengine mhanga wao anakuwa amewaaminisha wanaenda kushinda mechi, sasa wanapokutana na utofauti ndio hivyo wanabwabwaja kama wamekatika vichwa, utashindaje mechi na wachezaji wako viwango ni vidogo? Quality ya yanga kwa sasa ni kubwa uwezi kuwaendea kichwakichwa kwa kutegemea maelekezo ya sangoma ukawashinda kirahisi watakupasua na mganga wako!Sure mkuu. Tatizo letu watanzania ni kutafuta sababu za kuokoteza okoteza. Nimemsikia anayejiita Dr Mohamed eti anadai TFF inapokea maelekezo kutoka yanga! Kayoko ameteuliwa na yanga kuwa refa wa mechi hii!
Wewe ungeongea kiswahili tu ama nawe ni diaspora😀4 times and you want to blame yanga you must be joking, so is it means young african they are corrupt even caf.. coz the last year simba played caf champion league and now federation so they drop, even in our home league the same, this means they are now not like before.. i think simba sport club they have to notice where they fail and not always to blame coz football is changing now if no competition no development..
Refa mbona alichezesha vizuri tu.Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?
Huyu sasa ndiyo GENTAMYCINE The King!! Rafiki kipenzi wa Dr Matola PhD!! Yaani amepiga palepale kwenye mshono.Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?
Wewe jamaa ungekuwa unaishi England, hakika ungefika mbali sana kwenye hii lugha! Maana unaonekana una kitu. Hivyo hutakiwi kupuuzwa hata kidogo. Comrade, wewe ni jasiri sana.4 times and you want to blame yanga you must be joking, so is it means young african they are corrupt even caf.. coz the last year simba played caf champion league and now federation so they drop, even in our home league the same, this means they are now not like before.. i think simba sport club they have to notice where they fail and not always to blame coz football is changing now if no competition no development..
Una mtania au uko serious maana Kwa Communication skills yangu naona hapo kuna makosa mengi Sana grammatically.Wewe jamaa ungekuwa unaishi England, hakika ungefika mbali sana kwenye hii lugha! Maana unaonekana una kitu. Hivyo hutakiwi kupuuzwa hata kidogo. Comrade, wewe ni jasiri sana.
Ningeweza kuweka tick na kukushukuru Kwa andiko zuri. Lakini Kwa heshima yako acha nichangie.Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?
Ukiyaona madhaifu ya refa kwa kuibeba Yanga inabidi pia uyaone madhaifu ya refa ambayo yaliinufaisha Simba. Na huo ndio uanamichezo.Pamoja na Yanga kutuzidi uwezo, refa wa jana alikua tatizo mkuu...
Siwezi kulaumu sana maana haibadilishi chochote ila kuna clear penati mbili alipeta...
Tujipe muda naona kikosi kinaimarika, tujitahidi tu dirisha kubwa Mutale na Mukwala wasibaki.
English haina mwenyewe!Wewe jamaa ungekuwa unaishi England, hakika ungefika mbali sana kwenye hii lugha! Maana unaonekana una kitu. Hivyo hutakiwi kupuuzwa hata kidogo. Comrade, wewe ni jasiri sana.