fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Sasa mkuu mtu hadi anakusingizia kesi bando unamganda au unataka siku moja akumwagie maji ya motoBaada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.
Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Hapana, tatizo kakimbia na wanangu, hata hapa tunazungumza hatuko pamoja. Nataka nipate wanangu tu, hilo ndio sualaSasa mkuu mtu hadi anakusingizia kesi bando unamganda au unataka siku moja akumwagie maji ya moto
Hapo sawa hilo la watoto ndilo la kupambaniaHapana, tatizo kakimbia na wanangu, hata hapa tunazungumza hatuko pamoja. Nataka nipate wanangu tu, hilo ndio suala
Hapana,nawajua sana,nami nina wake 2 nina experience ya miaka zaidi ya 30 ya ndoa na yote uliyosema mimi nishayapitia,lani hoja yangu tuwasaidie hawa wanawake kuziondoa hizo dosari badaya ya kuwaambua hadharaniBaada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.
Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
ni kweli lakini sisi wanaume tusiwaige kwa kutoa siri zao au udhaifu wao hadharaniMwanamke ndo anayeongoza kumtukana mpenziwe/mumewe hadharani..
Kwanza hujui kutomba , kimoja tu chalii...mtu mwenyewe Una kibamia ..
Hizi akili sijui huwa wanazitoa wapi? halafu badae anakuja kuomba msamaha
Pole sana mkuuBaada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.
Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Mie nakushauri uoe tenaPole sana mkuu
Kwahiyo unanishauri nisioe sio et?
UsithubutuPole sana mkuu
Kwahiyo unanishauri nisioe sio et?
Yeah!...hili ni muhimu kwa pande zote.Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
sahihiYeah!...hili ni muhimu kwa pande zote.
Duh mkuu pole umeamuaje Sasa?inaonekana una Mali anataka mgawane.Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..