Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
 
Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.

Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
 
Sasa mkuu mtu hadi anakusingizia kesi bando unamganda au unataka siku moja akumwagie maji ya moto
 
Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.

Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Hapana,nawajua sana,nami nina wake 2 nina experience ya miaka zaidi ya 30 ya ndoa na yote uliyosema mimi nishayapitia,lani hoja yangu tuwasaidie hawa wanawake kuziondoa hizo dosari badaya ya kuwaambua hadharani
 
Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.

Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Pole sana mkuu
Kwahiyo unanishauri nisioe sio et?
 
Em fikiria ana niambia sina hela na wakati yeye hana hata uwezo wa kuingiza hela nayo pata mimi.
Kuna hii kenge inafanya makosa then inaniambia unadhani nitakuomba msamaha?
 
Kumekuchaaaa tena🤣🤣🤣

🍿🍿🍷🍷
 
Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
Yeah!...hili ni muhimu kwa pande zote.
 
Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.

Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Duh mkuu pole umeamuaje Sasa?inaonekana una Mali anataka mgawane.
 
Back
Top Bottom