Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Cdm haina uoga wa kijinga jinga na hakuna mahali wamevunja sheria kikatiba. Hapa ni spana kwa spana tu
Mkuu mbona haya maoni yako umetoa kama Mmawia?

Yani kwa vile wananchi hawakwaziki basi chadema wanaweza kufanya lolote kwenye huo wimbo?
 
Ila Peter Msechu akibadiri nyimbo ya Dini kuweka maneno ya kumsifia magufuli iyo sawa???


Acheni double standard walichofanya chadema wala si kosa kisheria na hata pia kimaadili
Wewe ndo unataka kuleta double standard mkuu! Kuhusu mambo ya dini wenye dini zao ndo watakemea kama wakiona ni tatzo kwao, serikali wamekemea kwenye jambo lao na uzuri wametoa onyo tu
 
Mh Lissu aliwahi kulisema hili bungeni kubusu nembo za Taifa mkatia maskio pamba leo mnakuja kulialia..yeye alimuuliza mwanasheria mkuu kwanini wimbo wa Taifa hautajwi kama nembo ya Taifa mkampuuza leo mnayaona.

Turudi na kwenu CCM kwanini hii nchi kila kitu mnajiona mko juu ya sheria maana vijana wa UVCCM waliimba kumsifu magufuli kwa Wimbo wa Taifa msajili alikaa kimya leo inetokea kwa Chadema mnapanua midomo oneni aibu.
 
Una ushahidi pasina shaka kuwa watu wametoa rushwa?
 
Wewe ndo kasome historia.Huo wimbo tanzania ndio tumeutohoa kutoka south afrika.Kama unabisha nikuketee ushahidi na wewe ulete wakwako.
 
Msalimie polepole hapo lumumba 😂
 
chadema kila Kitu wanaleta Vurugu szan Kama Kulikuwa kuna haja ya kuharibu wimbo WA taifa
 
Nenda kajielimishe kwanza ndo urudi kuchangia sio kupayuka payuka tu bila uhakika.
Mmekosa ubunifu mwambieni Sugu awatungie wimbo. Nyie ni wachokozi mnafanya kitu ambacho mnatambua fika serikali haitakaa kimya. Kiki zenu ni too low...mtashindwa kupata wafuasi wenye akili kwa vitu vidogo vya kijinga kama hivi
 
Jile79
Choo waje wakujengee nyumban kwako ilihali we kutwa unatukana mitandaoni

Kama huna choo n uzembe wako c ccm
 
Mkuu hivi hawa UVCCM waliimba wimbo huo kwenye tukio rasmi la chama chao?
Sasa tunaanza rasmi kuhalalisha makosa kutokana na makosa (Does two wrongs make it a right, nowadays?)

Sina majibu sahihi nimeuliza nijifunze.
Kwani issue ni shughuri rasmi au kubadiri wimbo wa taifa?

Au uvccm hukutana vichochoroni au kwenye shughuri rasmi?

Au shughuri rasmi ni mikutano mikuu tu?
Angalia clip ulizowekewa hapo
 
Wewe ndo kasome historia.Huo wimbo tanzania ndio tumeutohoa kutoka south afrika.Kama unabisha nikuketee ushahidi na wewe ulete wakwako.Kwahiyo wewe ndo ufiche upumbavu wako tena ficha mbali kabisa.
Ningekuona wa maana kama ungeleta huo ushaidi.
 
Mtetezi wa ujinga ni yule Jaji aliyetoa onyo kwa Chadema pasipo kuchungulia ktk sheria yaani huyo Mutungi pamoja na wewe nyote hmna kitu haswaa
 
Aliyetunga huo wimbo alishajifia miaka kibao iliyopita sisi uku tunasumbuana.Na hapo umetungwa na msauzi ingekua umetungwa na Mtz tena awe kada kindaki ndaki wa lumumba aise Cdm wangetiwa hadi vidole machoni.Mbona tuna ujinga mwingi hivi.
 
Je wewe ukibadiri huo wimbo hadharani siyo kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…