Mkuu natamani kama ungeongeza zaidi maoni yako kuhusu hili tukio.Hypocrisy of the Pot calling the Kettle black.
Nilishasema huwa hawa chadema ni hawafai
Huu wimbo wa Taifa sio sawa na maandiko matakatifu.
Kamanda hongera kwa kukemea huu ujinga
Kamanda hongera kwa kukemea huu ujinga
Hata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
Magufuli alipopokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi ulikuwa hujazaliwa? Mbona hukukemea ili tuone huwa unachukizwa na mambo yaliyo nje ya katiba?
Nasubiri jibu lake mkuu.Magufuli alipopokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi ulikuwa hujazaliwa? Mbona hukukemea ili tuone huwa unachukizwa na mambo yaliyo nje ya katiba?
Inawezekana ukawa na hoja za msingi, lakini kwangu naona ni kosa kurekodi na kusambaza, na sio hiyo remix kwenye mkutano wa Cdm. Hata live band huwa tunaona wakiimba nyimbo mbalimbali za wengine na kuweka vikolombwezo, lakini kosa ni kurekodi na kusambaza. Kilichokuibua ni hicho kitisho cha huyo msajili wa vyama vya siasa. Huyo msajili ni mara ngapi anakalia kimya mambo hayo hayo yakifanywa na ccm? Kuna siku Magufuli alipokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha, kumbuka jeshi limetengwa kabisa kikatiba na siasa. Je msajili alikemea hilo, je ww ulikemea jambo lile? Au huu wimbo wa taifa ndio umeona wa maana sana mpaka kuuanzishia uzi?
Hukuona Magu alipost iyo nyimbo kwenye official page yake??? Nakuwa na mashaka sana na consciousness yako ndugu. Unanipa wakati mgumuHii video uliyoweka, hawa wanaoimba wana nafasi gani ndani ya CCM, Je kitendo chao kilikuwa endorsed na CCM, au ni rogue elements tu zimeamua kuimba?
Anyway,. makosa mawili hayafanyi kosa lisiwe kosa.
hebu linganisha kosa lifanywe na Baraza kuu zima la Chadema, Mwenyekiti akiwepo, katibu mkuu yupo na mgombea uraisi yupo nao wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa.
Yaani Baraza kuu zima la Chadema, mbele ya mwenyekiti, na katibu mkuu wake pamoja na wajumbe wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa
Hizi video mbili hazilingani aisee!