Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Acha ubishi, kama umeamua kuliita kosa basi libaki kuwa kosa regardless ya status ya mtu au kitu! Hivi mzazi akitukana na mtoto akitukana , tusi linabadilika na kuwa sifa? Kubali umechemka wewe na mtungi wako.

Pili, Kamati Kuu ya Chadema na hao CCM walioimba wote wana nafasi sawa kwenye nyama vyao, Ni Wapiga kura labda useme Leo hapa kuwa CCM mna wanachama na "Wanachama"!

Tatu, sikumbuki au pengine sielewi kama kweli Baraza la kuu la Chadema wali-endorse huo ubeti! Wewe ndio unahitaji utulivu mkubwa kwenye kuanzisha na kujibu mada.
 
Huu wimbo wa Taifa sio sawa na maandiko matakatifu.
Acheni utoto,aliekwambia wimbo wa taifa unabadilishwa kienyeji Ni Nani?badala ya kujikita kwenye Sera mapemaa mnaanza kuingiza Mambo yasio na maana halafu mkishindwa mtasema mmeibiwa
 
..tatizo watu[ccm na msajili] wamekosa hoja za kujadili ndiyo maana wanashughulika na mambo madogo-madogo.

..na mkutano wenyewe vyombo vya habari vilizuiwa kuutangaza hivyo hata wananchi hawakuwa na habari na kilichotokea.

..na hizo nembo za taifa ni kitu gani haswa mpaka tusumbuane kiasi hiki?

.. kuna nchi watu wanavaa CHUPI zina bendera ya taifa na maisha yanakwenda.
 
Tuache kubishana, katiba so ipo? Inasemaje kuhusu nembo za taifa? Wekeni humu tuvisome halafu tuone Nani yupo sawa au la, Kama ccm na CHADEMA watakutwa na hatia, watuombe msamaha watanzania na kufuta hizo distortions zao
 
Siyo cdm hata ccm ndiyo walio anza huo utaratibu
sasa kulikuwa na sababu gani Chadema kuiga upuuzi wa ccm pia kulikuwa na ulazima gani wa lisu kuwajibu ccm,
kwa mantki hiyo basi wameleta mfanano katika hali ya u hasi tena u hasi wa kiwango cha lami kitendo kilichosababisha nyani kulicheka kundule
 
Sheria ipi inakataza
Mmekosa ubunifu mwambieni Sugu awatungie wimbo. Nyie ni wachokozi mnafanya kitu ambacho mnatambua fika serikali haitakaa kimya. Kiki zenu ni too low...mtashindwa kupata wafuasi wenye akili kwa vitu vidogo vya kijinga kama hivi
 
Bata ndo huwa anaharisha u purumundu kama huu ulioucharaza hapa kwenye kadamnasi
jitafakari tafakari upurumundu wako kabla hujaucharaza hadharani
 
Bata ndo huwa anaharisha u purumundu kama huu ulioucharaza hapa kwenye kadamnasi
jitafakari tafakari upurumundu wako kabla hujaucharaza hadharani
Unanifokea unanitemea mate
 
Umesikia pia walichofanya UVCCM? kwenye kuonya huku uisiwaonye Chadema tu hata cccm wamefanya huo ujinga
 
Missile Luna wombo ambao umewekwa uber mmoja na wanaccm! Ushaona au bado??
 
Mkuu hivi hawa UVCCM waliimba wimbo huo kwenye tukio rasmi la chama chao?
Sasa tunaanza rasmi kuhalalisha makosa kutokana na makosa (Does two wrongs make it a right, nowadays?)

Sina majibu sahihi nimeuliza nijifunze.
Acha kuhamisha magoli content ni kubadili maneno ya wimbo haijalishi ni wapi
 
Ulisikia kukemewa kwa ujinga waliofanya?
 
Hapa ni jino kwa jino tu hakuna kuchekeana
sasa kulikuwa na sababu gani Chadema kuiga upuuzi wa ccm pia kulikuwa na ulazima gani wa lisu kuwajibu ccm,
kwa mantki hiyo basi wameleta mfanano katika hali ya u hasi tena u hasi wa kiwango cha lami kitendo kilichosababisha nyani kulicheka kundule
 
CCM Mbona hawakupewa onyo walipo badili
Hili ni member wa praise team, Mimi ningemwona wa maana angeisema na ccm,sasa alivyompumbavu anajifanya kuwa hajawahi kuiona clip ya nyimbo kama hiyo ya ma-ccm
 
Issue ni kuhalifu wimbo hizi povu mbona hazikumwagika ccm walipofanya huo ujinga
 
Ulisikia kukemewa kwa ujinga waliofanya?
Huyo ni kati ya watu walio kwisha kuwa mali ya ACT hivyo anajitahidi kueneza chuki dhidi ya cdm, ili ACT iwe mbadala wa cdm lkn naona kila ukijaribu anagonga mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…