The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu.
Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu.
Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi au jambo jipya? Mbona wadudu wanalijua hili hata kabla ya quran kuandikwa? Ndiyo maana hufanya kazi bila kupumzika kwa vile wanajua watakufa haraka.
Kingine eti kinasema jua huchwa mashariki na kuzama magharibi. Nani asiyejua? Mbona hata, kuku, pamoja na kuwa na ubongo mdogo, wanajua. Ndiyo maana wanawika.
Kingine kinasema eti kiumbe huanza maji, uwingu, na hatimaye nyama. Mbona hata nyoka wanapojamiiana wanajua hili?
Kingine kinasema eti bahari zina mipaka. Nani hajui hili au ni ile kutojua kuwa hii mipaka hutengenezwa na kiwango cha joto na chumvi kwenye bahari husika tokana na jiografia na ukubwa wake?
Kingine kinasema eti nyota hazihesabiki. Nani alisema zinahesaabika?
Kingine kinasema eti dunia ni mduara na inaelea angani. Mbona Galilei Galileo alivyodai hivyo, hawa hawa wakamhukumu kifo au kukanusha?
Yapo mengi. Chunguza mwenyewe utoe tongotongo ubongoni.