Tuache kuuziwa ujinga na vitabu vya dini za kimapokeo

Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu.

Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu.

Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi au jambo jipya? Mbona wadudu wanalijua hili hata kabla ya quran kuandikwa? Ndiyo maana hufanya kazi bila kupumzika kwa vile wanajua watakufa haraka.

Kingine eti kinasema jua huchwa mashariki na kuzama magharibi. Nani asiyejua? Mbona hata, kuku, pamoja na kuwa na ubongo mdogo, wanajua. Ndiyo maana wanawika.

Kingine kinasema eti kiumbe huanza maji, uwingu, na hatimaye nyama. Mbona hata nyoka wanapojamiiana wanajua hili?

Kingine kinasema eti bahari zina mipaka. Nani hajui hili au ni ile kutojua kuwa hii mipaka hutengenezwa na kiwango cha joto na chumvi kwenye bahari husika tokana na jiografia na ukubwa wake?
Kingine kinasema eti nyota hazihesabiki. Nani alisema zinahesaabika?

Kingine kinasema eti dunia ni mduara na inaelea angani. Mbona Galilei Galileo alivyodai hivyo, hawa hawa wakamhukumu kifo au kukanusha?

Yapo mengi. Chunguza mwenyewe utoe tongotongo ubongoni.
Mi nasema Quran ndo kitabu cha kipumbavu sana kina stori za kitoto. Ila Biblia inaleta masimulizi ya watu wa kale jinsi walivyoishi na mambo waliyoyafanya wala sioni ubaya wake.
Kama wewe hapa upewe kitabu cha historia ya ukoo wako, kuna ubaya?
 
Quran na biblia ni mapacha wa baba na mama mmoja. Hii ndiyo double standard ya kitoto ambayo huwa naichukia. Huwezi kutetea hivi vitu kwa kusafisha kimoja na kuchafua kingine. Vyote ni hovyo na ni vibaya. Wewe unaona kumweka mtu asiye na hatia msalabani eti kufia wakosefu ni haki na kawaida? Mbona sasa tunawafunga badala ya majaji na mahakimu kuwafia badala ya kuwafunga?
 
Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu.

Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu.

Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi au jambo jipya? Mbona wadudu wanalijua hili hata kabla ya quran kuandikwa? Ndiyo maana hufanya kazi bila kupumzika kwa vile wanajua watakufa haraka.

Kingine eti kinasema jua huchwa mashariki na kuzama magharibi. Nani asiyejua? Mbona hata, kuku, pamoja na kuwa na ubongo mdogo, wanajua. Ndiyo maana wanawika.

Kingine kinasema eti kiumbe huanza maji, uwingu, na hatimaye nyama. Mbona hata nyoka wanapojamiiana wanajua hili?

Kingine kinasema eti bahari zina mipaka. Nani hajui hili au ni ile kutojua kuwa hii mipaka hutengenezwa na kiwango cha joto na chumvi kwenye bahari husika tokana na jiografia na ukubwa wake?
Kingine kinasema eti nyota hazihesabiki. Nani alisema zinahesaabika?

Kingine kinasema eti dunia ni mduara na inaelea angani. Mbona Galilei Galileo alivyodai hivyo, hawa hawa wakamhukumu kifo au kukanusha?

Yapo mengi. Chunguza mwenyewe utoe tongotongo ubongoni.
Elimu ndogo ni udhia, tafuta maarifa ndugu au waulize wajuzi ikiwa hamjui.
Kwanza tuanze na swali nini maana ya elimu?
Jibu:
 
Ni uwezo wa kujitambua na kuwatambua wengine na nyenzo ya kuboresha maisha yako binafsi na wengine.
Pinga:
 
Huo ni uelewa wako wa elimu, siwezi kukupangia, nami nina uelewa wangu juu ya elimu nayo ni utambuzi wa jambo kwa uhalisia wake kamili na kwa uhakika, na ni mfumo uliopangiliwa wa maarifa unaojumuisha ukweli, dhana na kanuni.
Vipi unaupata huo uwezo wa kujitmabua?
 
Kuna jamaa hapa kitaani kwetu yupo tayari kuua mtu ila sio kula kitimoto, cjajua ni dini gani yule mwamba ila hua namuona akivaa dera jeupe
Atakuwa ni wale wabinua vijabio juu for nothing ..maana ndiyo hata mtume wao alikuwa anavaa magauni ya bi khadija ndiyo WAHY UNAMSHUKIA .. adriz the kitimoto
 
Unataka facts gani wakati kila kitu kiko hapo? Eti vitabu vya Mungu!! Pfyuu. Mungu siyo zwazwa wala mkoloni. Angalia anavyonyesyesha mvua na kutoa riziki bila mipaka. Huyo ndiyo Mungu acha hawa wa kuchongwa na wakoloni na kuibia mazwazwa waliotamalaki ulimwenguni. Jua kuwa ujinga si tusi bali uzwazwa.
Sawa mjanja...
 
Quran na biblia ni mapacha wa baba na mama mmoja. Hii ndiyo double standard ya kitoto ambayo huwa naichukia. Huwezi kutetea hivi vitu kwa kusafisha kimoja na kuchafua kingine. Vyote ni hovyo na ni vibaya. Wewe unaona kumweka mtu asiye na hatia msalabani eti kufia wakosefu ni haki na kawaida? Mbona sasa tunawafunga badala ya majaji na mahakimu kuwafia badala ya kuwafunga?
Ishu ya Yesu kufa msalabani haina maana kama ambayo unasema wewe hapa,

Ipo hivi, Yesu kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za watu maana yake ni kwamba; Yesu alikuja kuwakomboa watu kutoka dhambini, sasa hicho kitendo kiliwafanya watawala wa kipindi kile kumuona kama anataka kuwaovertake ili achukue ufalme kuwa mkuu ndio maana wakaamua kumuua.
Kitendo chake cha kuwakomboa watu kutoka kwa shetani ndo kimempelekea kufa. Ndio maana tunasema amekufa kwa ajili ya dhambi zetu.
Sasa kuwekwa msalabani sio kuwafia wakosefu ila lengo la wauwaji ni kumuua kwa kuhisi anataka awe mfalme.
Umeelewa?
Quran na biblia ni mapacha wa baba na mama mmoja. Hii ndiyo double standard ya kitoto ambayo huwa naichukia. Huwezi kutetea hivi vitu kwa kusafisha kimoja na kuchafua kingine. Vyote ni hovyo na ni vibaya. Wewe unaona kumweka mtu asiye na hatia msalabani eti kufia wakosefu ni haki na kawaida? Mbona sasa tunawafunga badala ya majaji na mahakimu kuwafia badala ya kuwafunga?
 
Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu.

Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu.

Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi au jambo jipya? Mbona wadudu wanalijua hili hata kabla ya quran kuandikwa? Ndiyo maana hufanya kazi bila kupumzika kwa vile wanajua watakufa haraka.

Kingine eti kinasema jua huchwa mashariki na kuzama magharibi. Nani asiyejua? Mbona hata, kuku, pamoja na kuwa na ubongo mdogo, wanajua. Ndiyo maana wanawika.

Kingine kinasema eti kiumbe huanza maji, uwingu, na hatimaye nyama. Mbona hata nyoka wanapojamiiana wanajua hili?

Kingine kinasema eti bahari zina mipaka. Nani hajui hili au ni ile kutojua kuwa hii mipaka hutengenezwa na kiwango cha joto na chumvi kwenye bahari husika tokana na jiografia na ukubwa wake?
Kingine kinasema eti nyota hazihesabiki. Nani alisema zinahesaabika?

Kingine kinasema eti dunia ni mduara na inaelea angani. Mbona Galilei Galileo alivyodai hivyo, hawa hawa wakamhukumu kifo au kukanusha?

Yapo mengi. Chunguza mwenyewe utoe tongotongo ubongoni.
 
nenda saudia, nenda iran kuliko na shina la uislam watu hawautaki kabisi ujinga huo, halafu we mbongo ndio kwanza unaujaza kichwani kwako! Shame on you
Sio kwamba hawautaki uislam.bali wamepewa propaganda ya kuukataa uislam.
Wanajengewa chuki na Sumu dhidi ya uislam.ila hayo yote yalishatabiriwa.alafu wao kuukataa uislam sio kwamba uislam utabadilika kitu.uislam utabaki milele.chaguo ni lao ila UKWELI UTABAKI UISLAM NDO DINI YA HAKI
 
Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu.

Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu.

Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi au jambo jipya? Mbona wadudu wanalijua hili hata kabla ya quran kuandikwa? Ndiyo maana hufanya kazi bila kupumzika kwa vile wanajua watakufa haraka.

Kingine eti kinasema jua huchwa mashariki na kuzama magharibi. Nani asiyejua? Mbona hata, kuku, pamoja na kuwa na ubongo mdogo, wanajua. Ndiyo maana wanawika.

Kingine kinasema eti kiumbe huanza maji, uwingu, na hatimaye nyama. Mbona hata nyoka wanapojamiiana wanajua hili?

Kingine kinasema eti bahari zina mipaka. Nani hajui hili au ni ile kutojua kuwa hii mipaka hutengenezwa na kiwango cha joto na chumvi kwenye bahari husika tokana na jiografia na ukubwa wake?
Kingine kinasema eti nyota hazihesabiki. Nani alisema zinahesaabika?

Kingine kinasema eti dunia ni mduara na inaelea angani. Mbona Galilei Galileo alivyodai hivyo, hawa hawa wakamhukumu kifo au kukanusha?

Yapo mengi. Chunguza mwenyewe utoe tongotongo ubongoni.
Wewe kichwa boga nyoosha maneno kuwa unaunanga uislam mbulula wewe sio unazunguzunguka
Kwanza umesoma sayansi shule au ni wale HKL maneno mengi kama padri wa kicongo
Huyu ni mgalatia na anauzia BBC kazi zake, sasa wewe mbuguma wa mwakaleli ndio uokoteokote upupu mitandaoni

Siku utashangaa ukijua kuzaliwa hadi kufa kwa yesu ni physiological processes ya mwili wa mwanadamu...
 
Kingine kinasema eti bahari zina mipaka. Nani hajui hili au ni ile kutojua kuwa hii mipaka hutengenezwa na kiwango cha joto na chumvi kwenye bahari husika tokana na jiografia na ukubwa wake?
Wewe kilaza tena mbulula
Hapa unaonyesha hujasoma sayansi shuleni na pia ni zwawa yaani ndondocha
Quran imeandika kuhusu bahari kutoingiliana tangu mwaka 632 CE, nina uhakika hujui maana ya huo mwaka.
Halafu ujinga unaousema umeujua kuhusu viwango vya chumvi umejulikana karne ya 20
1768346270086.png

Verse (55:19-20) speaks of "two seas, meeting [side by side]; Between them is a barrier, so neither of them transgresses".
Verse (25:53) describes "two seas: one fresh and sweet, and one salty and bitter," with "a barrier and a prohibiting partition" between them.
Verse (27:61) refers to a barrier placed between "the two seas".
Verse (35:12) contrasts "fresh and sweet" water with "salty and bitter" water.

1768345965386.png

Haya kalete upupu wa bibilia kama kuna hata chembe ya elimu zaidi ya kutwa kucha unaongelea huyu kamtomba huyu akazaa huyu

Again, umeonyesha ukicha pumbu
Ni lini wamegundua kuwa nyota hazihesabiki na lini Quran imeandika hivyo ? wewe ni fyongo brain hujasoma kabisa masomo ya sayansi, kwa hiyo kaa kimya mbulula

1768346763183.png
 
Kwa hiyo
Kusema usizini, usiibe, mpende baba yako, mpende jirani yako. Amri moja nawapa ndio hii mpendane. Mwe wavumilivu.
Ni ujinga?
 
So what?
Wewe kichwa boga nyoosha maneno kuwa unaunanga uislam mbulula wewe sio unazunguzunguka
Kwanza umesoma sayansi shule au ni wale HKL maneno mengi kama padri wa kicongo
Huyu ni mgalatia na anauzia BBC kazi zake, sasa wewe mbuguma wa mwakaleli ndio uokoteokote upupu mitandaoni

Du! Kweli nyani haoni kunduule!
Ishu ya Yesu kufa msalabani haina maana kama ambayo unasema wewe hapa,

Ipo hivi, Yesu kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za watu maana yake ni kwamba; Yesu alikuja kuwakomboa watu kutoka dhambini, sasa hicho kitendo kiliwafanya watawala wa kipindi kile kumuona kama anataka kuwaovertake ili achukue ufalme kuwa mkuu ndio maana wakaamua kumuua.
Kitendo chake cha kuwakomboa watu kutoka kwa shetani ndo kimempelekea kufa. Ndio maana tunasema amekufa kwa ajili ya dhambi zetu.
Sasa kuwekwa msalabani sio kuwafia wakosefu ila lengo la wauwaji ni kumuua kwa kuhisi anataka awe mfalme.
Umeelewa?
Umeandika utopolo hujajibu hoja hata moja
Wewe kilaza tena mbulula
Hapa unaonyesha hujasoma sayansi shuleni na pia ni zwawa yaani ndondocha
Quran imeandika kuhusu bahari kutoingiliana tangu mwaka 632 CE, nina uhakika hujui maana ya huo mwaka.
Halafu ujinga unaousema umeujua kuhusu viwango vya chumvi umejulikana karne ya 20
View attachment 3529598
Verse (55:19-20) speaks of "two seas, meeting [side by side]; Between them is a barrier, so neither of them transgresses".
Verse (25:53) describes "two seas: one fresh and sweet, and one salty and bitter," with "a barrier and a prohibiting partition" between them.
Verse (27:61) refers to a barrier placed between "the two seas".
Verse (35:12) contrasts "fresh and sweet" water with "salty and bitter" water.

View attachment 3529597

Haya kalete upupu wa bibilia kama kuna hata chembe ya elimu zaidi ya kutwa kucha unaongelea huyu kamtomba huyu akazaa huyu

Again, umeonyesha ukicha pumbu
Ni lini wamegundua kuwa nyota hazihesabiki na lini Quran imeandika hivyo ? wewe ni fyongo brain hujasoma kabisa masomo ya sayansi, kwa hiyo kaa kimya mbulula

View attachment 3529599
Sijui kama umeelewa unachojibu na unacholenga kuwasilisha kulingana na kilichowasilishwa.
 
So what?

Du! Kweli nyani haoni kunduule!

Umeandika utopolo hujajibu hoja hata moja

Sijui kama umeelewa unachojibu na unacholenga kuwasilisha kulingana na kilichowasilishwa.
Umeloa tayari
Umeanza kulopolopo
Kuna hata sehemu umejibu nilikusokomezea kooni, hakuna ?
 
Back
Top Bottom