Tuache kuuziwa ujinga na vitabu vya dini za kimapokeo

Ni kweli. Siwezi kufanya hivyo kama ufanyavyo wewe ambaye ubongo wako uko makalioni na mavii yamejaa kwenye bufulu.. Too bad.
ungekuwa unatumia akili usingempinga mungu .
Lazma utakuwa unatumia makalio kufikiri.
Baba Yako alikula ugali maharage akashiba akalala na mama Yako akamwagia shahawa ukatoka wewe.leo unaleta dharau.
Aliyezibadilisha shahawa za baba Yako ndani ya tumbo la mama Yako ni nani?kama sio mungu?
Tumia akili sio makalio
 
Ni kweli. Ila wewe kichwa kimejaa mavi. Mie makalio yamekaa ubongo
 
nenda saudia, nenda iran kuliko na shina la uislam watu hawautaki kabisi ujinga huo, halafu we mbongo ndio kwanza unaujaza kichwani kwako! Shame on you
Saudi Arabia na Iran ulikuwa sehemu? Au ulifika kwa Google maps?
 
Kuna watu wenye nguvu za kifedha na jeshi wanachuki na hiyo dini ila hawana la kufanya, wametumia kila namna kudhoofisha ila kuna kitabu kinasema hawataweza na kweli hawawezi.
Hata wewe kwa chuki zako hautaweza zaidi utaishia kuandika chuki zako na utakufa kama kitabu kilivyosema,
 
NI Kweli usemayo hasa kwa machawa niandikayo ni chuki kwao japo kwa wenye akili timamu ni busara tupu.
 
Ni kweli. Kwa kichaa na mpumbavu nilichoandika hakileti maana ila kwa wenye akili ni lulu na madini. Huo ndiyo ukweli. Wataumia wengi hasa machawa na wale wawafugao
 
Ni kweli. Kwa mazwazwa ya imani sijatumia akili. Ila kwa wenye akili sawa sawa nilichoandika ni ukweli mtupu.
 
Typical minyang’au ya kibongo
Linaleta mada halafu linashindwa kuitetea na kuanza matusi
Wewe ni kilaza, ndondocha, mbulula, pumbavu, huna elimu
Umetosheka? Hayo matusi umeanza wewe. Yamekurudia. Sasa unaanza kulalama. Tulia iingie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…