Tuache lawama! Kila mtu hupokea kulingana na Mchango wake katika jamii

Bora nikamsaidia mtu like jobu au Kassim majaliwa au mwigullu ambao anauwezo wa kufanya ufisadi na akaanzisha makampuni tukapata ajira kuliko kumsaidia mtu kama ROBERT HERIEL ambaye hata hajulikani lini atakuja kuwa na hela na jamii ikanufaika kupitia yeye

Oya broo mtoa mada kama ulivyosema kwenye uzi wako "usisaidie maskini acha wafe" hebu u tag ule uzi kwenye hiyi mada, kiukweli hamtakiwi msaidiwe. mtu hata balozi wako tu wa mtaa hajui unamsaada gani? kwenye mtaa wako,hata maandazi huuzi, alafu siku unapata tatizo unataka usaidiwe. kheli ufe uwaachie nafasi wengine na siishi hapa naendelea............
 


๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Mnaroho mbaya nyie, sitaki pesa zenu
 
Mulume mwee umenena. Mhhh ukweli kabisaa hiii mada ilipaswa kumfikia lila mmoja wetu anayejitambua.
 
Na huu ndio ukweli ambao watu wengi hawajautambua..

Life is not fair
 
Hakika umenena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ