Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
inategemea na upeo na mlengo wa fikra au ushabiki wako katika maudhui husika na kusudi lako katika chagizo hili. Tafakari with neutrality utaelewaWe mbona unaleta mada za zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemea na upeo na mlengo wa fikra au ushabiki wako katika maudhui husika na kusudi lako katika chagizo hili. Tafakari with neutrality utaelewaWe mbona unaleta mada za zamani
na umemaanisha zamani ipi ambayo wewe ulikuwa mhusika au zamani kwa tafsiri ipi?We mbona unaleta mada za zamani
Lakini Mkuu sio Vizuri kumsimanga mginjwa.
Hata kama hutaki kumpa mchango🤣
That is Thinking....Inapendeza kuona watu wanaelewa Capitalism n Dunia inaenda kwa namna gani.
Kuna mtu mmoja aliuliza kwanini viongozi wa juu wakistafu wapewe marupurupu, magari ya kifahari mpaka nyumba za gharama....Swali ni je mfumo huo wa hao viongozi kupata hizo Favor umeuona tangu laini ni kwamba tangu unazaliwa umekuwa ukiona Raisi mstafu, waziri nk wanapewa magari nk, na muuza karanga mtaani hapewi kitu kwanini usipambane uwe katika nafasi ya kiongozi nawewe upate hizo favour za magari nk.
Ukiona mtu anapata favours zozote kwenye maisha Basi alipambana mpaka yeye kuwa kwenye hiyo position/class ya kupata hizo favours kuwa kiongozi mkubwa, msanii mkubwa nk sio kitu Cha kufumba na kufumbua watu wanapambania na huo muda wanapambana kuna maneno na masimango mengi wanapata kwanini wakishapata manufaiko ufosi wawe sawa na wewe niipi itakuwa mantiki ya wao kupambana.
Kitu kizuri hizi Position na Class tunazaliwa tukiziona hivyo kama ujawa kwenye hizo Class niwewe uzembe wako usilaumu mtu mfano mtu utasikia "wanachuo wanapata pesa za bure ningekuwa Mimi" Rubbish Thinking umezaliwa tangu utoto umekuwa ukiona wanachuo wanapata BOOM ujinga wako kutopambana kuwa katika nafasi ya wewe kuwa mmoja ya wanaopata.
Ukielewa misingi ya maisha ukaifuata favours always zitakuwa kwa upande wako na wale wavivu watabaki kukuona wewe unapendelewa, una bahati nk.
Sio kila mtu ambaye hana mafanikio ni mvivuThat is Thinking....Inapendeza kuona watu wanaelewa Capitalism n Dunia inaenda kwa namna gani.
Kuna mtu mmoja aliuliza kwanini viongozi wa juu wakistafu wapewe marupurupu, magari ya kifahari mpaka nyumba za gharama....Swali ni je mfumo huo wa hao viongozi kupata hizo Favor umeuona tangu laini ni kwamba tangu unazaliwa umekuwa ukiona Raisi mstafu, waziri nk wanapewa magari nk, na muuza karanga mtaani hapewi kitu kwanini usipambane uwe katika nafasi ya kiongozi nawewe upate hizo favour za magari nk.
Ukiona mtu anapata favours zozote kwenye maisha Basi alipambana mpaka yeye kuwa kwenye hiyo position/class ya kupata hizo favours kuwa kiongozi mkubwa, msanii mkubwa nk sio kitu Cha kufumba na kufumbua watu wanapambania na huo muda wanapambana kuna maneno na masimango mengi wanapata kwanini wakishapata manufaiko ufosi wawe sawa na wewe niipi itakuwa mantiki ya wao kupambana.
Kitu kizuri hizi Position na Class tunazaliwa tukiziona hivyo kama ujawa kwenye hizo Class niwewe uzembe wako usilaumu mtu mfano mtu utasikia "wanachuo wanapata pesa za bure ningekuwa Mimi" Rubbish Thinking umezaliwa tangu utoto umekuwa ukiona wanachuo wanapata BOOM ujinga wako kutopambana kuwa katika nafasi ya wewe kuwa mmoja ya wanaopata.
Ukielewa misingi ya maisha ukaifuata favours always zitakuwa kwa upande wako na wale wavivu watabaki kukuona wewe unapendelewa, una bahati nk.
Kinacho nitafakarisha mbunge mstaafu, kupitia changamoto hadi kuchangiwa hukosi billion 3 for 5 year. Je kapuku ambaye ata kukata bima yenye uwezo wa ku cover matibabu ya million 12 kwa wakati mmoja si changamoto.
Wakuu tutafute pesa, tuwekeze
Sio kila mtu ambaye hana mafanikio ni mvivu
Pesa haitoshi pekee, pia uwe na Mchango Mkubwa ndani ya jamii yako.
Kuna matibabu hata uwe na pesa zinaisha pyuuu!
Ushahidi upo
Kuna magonjwa kaa nayo mbali Mkuu.Basi ukiona hivyo huna pesa
Serekali inamuokoa Professor kutoka kwenye mauti na fedhea ya kutembeza bakuli. Asante mama wa taifa.
Professor J siyo kama mimi na wewe. Ni mwanamziki nguli aliyeweka alama kwenye mziki wa kizazi kipya, alionesha fursa, vijana wakaitumia na eneo hilo limeajiri mamia ya vijana. Mchango wake katika taifa hili ni mkubwa.Hivyo serikali aiwezi kusubiri afe ili imuenzi. Hii ni busara kubwa iliyotumika. Mh Raisi yuko timamu.Je Mimi na Wewe? Au ndio mada inatuhusu
Professor J siyo kama mimi na wewe. Ni mwanamziki nguli aliyeweka alama kwenye mziki wa kizazi kipya, alionesha fursa, vijana wakaitumia na eneo hilo limeajiri mamia ya vijana. Mchango wake katika taifa hili ni mkubwa.Hivyo serikali aiwezi kusubiri afe ili imuenzi. Hii ni busara kubwa iliyotumika. Mh Raisi yuko timamu.
Kuna magonjwa kaa nayo mbali Mkuu.
Likija hata uwe bilionea utapukutisha Utajiri wako mpaka uwaambia watoto acheni nife tuu kuliko kumaliza pesa zote mkabaki Masikini
Uvivu tafsiri yake nn mpaka wewe unaejiona tajiri wa maneno mpaka unajiita taikon wa fasihiIla kila mvivu lazima awe Masikini