Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Mkuu, nchi zilizoendelea hawatumii daladala. Wanatumia public transport!Mkuu hata nchi zilizoendelea wanatumia daladala fikiria umeamka asubuhi gari imezingua je hautapanda daladala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema hapa Dar es salaam, sijasema kuwa daladala ni usafiri wa watu duni kujumuisha note nchini au duniani.Mkuu hata nchi zilizoendelea wanatumia daladala fikiria umeamka asubuhi gari imezingua je hautapanda daladala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri utimize ndoto yako mkuu...Daladala hupandwa na watu wenye kipato cha chini, hupandwa na watu waliokosa ajira mzuri.
Daladala hupandwa na watu wenye background ya chini. Daladala imejaa watu ambao ustaarabu wameusahau nyumbani.
Natamani August 2020 nikome kupanda daladala.
Hayo niliyoyaandika sija generalize kuwa wapanda daladala wote wako hivyo ila wengi wana sifa moja wapo ya hizo juu.
Mbona hujaniuliza nikiachana na daladala nitasafiri kwa ungo, baiskeli au guta?Kila la kheri utimize ndoto yako mkuu...
Tunajua kama unakaribia kununua gari mkuu sisi ngoja tukomae na mwendokasi [emoji23][emoji23]Mbona hujaniuliza nikiachana na daladala nitasafiri kwa ungo, baiskeli au guta?
Ha ha si umesema August unavuta mkoko?,tuachie daradara sie kajamba nani mkuu.Mbona hujaniuliza nikiachana na daladala nitasafiri kwa ungo, baiskeli au guta?
Daladala za mbel ni tofaut na sie mpendwa wenzetu ni level sit sie thubutuMkuu hata nchi zilizoendelea wanatumia daladala fikiria umeamka asubuhi gari imezingua je hautapanda daladala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!Mkuu, nchi zilizoendelea hawatumii daladala. Wanatumia public transport!
Sent using Jamii Forums mobile app