Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

Teh..naona umepata mkopo wa kununua vitz, tayari unawaponda wapanda daladala, watu kibao tunamiliki magari private na bado huwa tunapanda daladala, kadri muda unavyoenda utajifunza tu kwamba hata tajiri anaweza kurudi kula tembele na dona..
 
Acha hizo

Huna gari,halafu achana na mentality za kimaskin

Hakuna mwenye kipato kizuri akaishi maisha ya dala dala Dar,hayupo tusiongopeane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ukishamiliki gari ndo makalio yako yanafungamanishwa na hilo gari huwezi kukaa kwenye gari nyingine, huna reasoning ndo matatizo ya shule za kata haya...
 
Povu la stress hili,sio bure

Yes namiliki gari,nisipotumia langu natumia la ofisi au kama ni dharura natumia uber/bolt,

Reasoning nye nye nyee,wakati umepanda mwendokasi ya kimara mmejaa kama ng'ombe mnaopelekwa mnadani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu, wenyewe tushazoea tunaona kawaida tu!
 
Acha hizo, kwa miaka kadhaa nilimisi daladala, nina wiki nina enjoy usafiri huu, hata sasa niko ndani ya daladala, mara usukumwe na tako kubwa la binti, mara uwekewe matiti mgongoni, yasni full budani, nitahitimisha 20/3/2020 ziara ya daladala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh..naona umepata mkopo wa kununua vitz, tayari unawaponda wapanda daladala, watu kibao tunamiliki magari private na bado huwa tunapanda daladala, kadri muda unavyoenda utajifunza tu kwamba hata tajiri anaweza kurudi kula tembele na dona..

Huyo hapaswi kuitwa tajiri tena bali ni mfirisika.
 
Kuna kisa kilinikuta kwenye mwendokasi sitakuja kukisahau.
Nilipanda mwendokasi siku moja nikasimama katikati ya akina mama wawili waneneeeee halafu warefu yaani wale wamama kutokana na msongamano walinibana kwa nguvu sana halafu miguu haikukanyaga chini kabisa mwanzo mpaka mwisho wa safari yaani nilikuwa niko kama napaa hivi ndani ya mwendokasi. Baadae abiria wakaongezeka wakanibana zaidi nikahisi wanakaribia kunivunja kiuno kabisa nikaona nijaribu kuacha kushika bomba nione kama miguu itashuka chini, aisee miguu haikushuka nikabakia nimenasa katikati yao, macho yalinivimba mara 5 zaidi ya Palamagamba. Sitakuja kuwasahau hao wanamama wangeniua siku hio.
 
Povu la stress hili,sio bure

Yes namiliki gari,nisipotumia langu natumia la ofisi au kama ni dharura natumia uber/bolt,

Reasoning nye nye nyee,wakati umepanda mwendokasi ya kimara mmejaa kama ng'ombe mnaopelekwa mnadani

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukiondoka kwa shemeji hapo ulipoolewa na dada yako utaelewa namna maisha yanavyo evolve, watu kama nyie ndo huwa mnatoa mapovu jamaa kaninyima buku tano wakati anamiliki gari.
 
Mpaka roho imeniuma kwa jinsi ulivyotupaka.
Anyway..tunashkuru
 
Back
Top Bottom