Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Ndege imejaa au hakuna ndege inayokwenda huko kwa hizo siku? Kuna mwenye biashara anayekataa wateja? Hivi hatujaona wenye mabasi wakiongeza uendaji wa mkoa fulani kwa siku, mfano msimu wa kawaida kuna kuwa na basi moja, ila msimu wenye abiria wengi wakaweka hata mabasi matatu? Sasa kama kweli ulichoonesha kinaakisi unachozungumzia, kuna shida gani ya kupeleka ndege mara 3 au 4 kwa siku kukidhi mahitaji ya soko?Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.
View attachment 1663486
Kiufupi ni kuwa, hakuna mwendaji huko, na ndio maana hakuna ndege iliyopangwa kwenda huko. 'No flight'!
Na sio 'over booked' au 'full'!