Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,769
- 1,379
Mzandiki na muongo mkubwa wewejuzi nimepanda hiyo ndege kutoka Mwanza kwenda Dar tulikua abiria 14 tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzandiki na muongo mkubwa wewejuzi nimepanda hiyo ndege kutoka Mwanza kwenda Dar tulikua abiria 14 tu.
heeeh mataga hutaki kusikia ukweliMzandiki na muongo mkubwa wewe
Sawa, wewe una shilling ngapi hapo mfukoni? Je umekunywa chai? Una majukumu yoyote ya kulipia watoto school fees au ni kula kulala?
Ukijibu maswali haya ndio naweza kuelewa wewe ni category gani then ndio tuendelee na hui ushuzi wako.
Ni kwa nini ulipe school fees kubwa wakati Magufuli anatowa elimu bure?Mkuu mimi nalipa school fees ambayo ww huwezi kulipa hata robo yake kwahyo tulia tudiscuss tu hii flight
juzi nimepanda hiyo ndege kutoka Mwanza kwenda Dar tulikua abiria 14 tu.
Chato ni mji mdogo uko kilomita 110 (110Km) kutoka Geita mjini.Tofauti yake ni nini?! Naomba msaada, tafadhali.
Halafu Pinda mwenyewe anakaa Zuzu hala lami hakuna haya matumizi ya Kodi zetu ni shida Kwa kweli.Hizo ni hadithi tu.
Practically kusema mtu wa Geita mjini ama Katoro atapanda ndege ashukie Chato kisha arudi Geita huo ni uongo wa asubuhi.
Kutoka Mwanza hadi Geita ni 110km, kutoka Chato hadi Geita mjini ni zaidi ya km 150.
Huo uwanja wa ndege ni white elephant project. Na kwa sasa usishangae wote waliojaa humo ni security agents kwa sababu mzee yuko huko.
Tusubiri akitoka huko utuletee taarifa hali itakavyokua.
Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi [emoji238] wakawa wanacheza humo.
Bora ule wa Pinda, hajajenga kijijini kwao Majimoto. Upo Mpanda mjini ambapo ni mkoani kabisa.Hizo ni hadithi tu.
Practically kusema mtu wa Geita mjini ama Katoro atapanda ndege ashukie Chato kisha arudi Geita huo ni uongo wa asubuhi.
Kutoka Mwanza hadi Geita ni 110km, kutoka Chato hadi Geita mjini ni zaidi ya km 150.
Huo uwanja wa ndege ni white elephant project. Na kwa sasa usishangae wote waliojaa humo ni security agents kwa sababu mzee yuko huko.
Tusubiri akitoka huko utuletee taarifa hali itakavyokua.
Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi [emoji238] wakawa wanacheza humo.
Ni kweli katoro ime changamka ila imechangamshwa na watu wa aina gani? wana kitapato cha kupanda ndege?Akili zako ni kwamba kila anaepanda ndege anaenda Geita Mjini. Geita ni kubwa bro na ina centre nyingi sana na zingine ziko mbali sana na Mwanza. Na kwa taarifa yako Geita mjini hakuja changamka kuliko Katoro. Maana unavyoisema hiyo Geita mjini utafikiri sijui ni centre kubwa ya kila kitu.
Taarifa zako tunazo dubai mkubwa, lisbon, paris kabisa.punguza jazba mataga mkubwa wewe.
Kuna nyingine Wiki moja tu iliyopita ilisafiri yenyewe kama yenyewe na Abiria waliokuwepo walikuwa ni wale Air Hostesses na Cockpit Crews basi.juzi nimepanda hiyo ndege kutoka Mwanza kwenda Dar tulikua abiria 14 tu.
Kwa Upande wa Uwanja wa Pinda umepotosha vibaya sana. Kwanza ujenzi wa Uwanja ulifadhiriwa na UNHCR wakati wa vuguvugu la Wakimbizi toka Burundi.Hizo ni hadithi tu.
Practically kusema mtu wa Geita mjini ama Katoro atapanda ndege ashukie Chato kisha arudi Geita huo ni uongo wa asubuhi.
Kutoka Mwanza hadi Geita ni 110km, kutoka Chato hadi Geita mjini ni zaidi ya km 150.
Huo uwanja wa ndege ni white elephant project. Na kwa sasa usishangae wote waliojaa humo ni security agents kwa sababu mzee yuko huko.
Tusubiri akitoka huko utuletee taarifa hali itakavyokua.
Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi 🐐 wakawa wanacheza humo.
Chato ipo wapi kwani?
panda ndege uende chato kufanya utalii wa Punda.Taarifa zako tunazo dubai mkubwa, lisbon, paris kabisa.
Wewe ni fala sana....foolishAiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.
View attachment 1663486