Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria Ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo Ni WAONGO Sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamaniView attachment 1663486

Kama biashara inapimwa hivyo basi tutaingia hasara sana, mwezi December ni mmoja tu katika Mwaka! Kama ndege itaenda December tu ni sawa!

Inawezekana pana abiria Ndiyo, ila kipimo chako cha ujinga wa abiria kimekaa kishabiki sana!
 
Dah manjua nyie hamtakagi kukubali tarehe 11 January route iko full hiyo Decemba Mkuu.
 
Kama biashara inapimwa hivyo basi tutaingia hasara sana, mwezi December ni mmoja tu katika Mwaka! Kama ndege itaenda December tu ni sawa!

Inawezekana pana abiria Ndiyo, ila kipimo chako cha ujinga wa abiria kimekaa kishabiki sana!

December mwaka jana kuna treni ilikuwa promoted sana na tukaambiwa itaendelea na route za Moshi, hii ipo mwaka huu?
 
Unaijua route ya Songea? Miaka yote ipo na haijawahi kufa kuna nini kule cha ajabu? Hii route itaishi miaka 1000 believe me
Kwahiyo Chato kuna nini cha ajabu?Au mmejaza TISS waende kuandaa ujio wa Jiwe kanda ya ziwa?
 
Back
Top Bottom