The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nje ya Geita na katoro mtu anaenda wapi mkoa wa Geita, Bwanga?Akili zako ni kwamba kila anaepanda ndege anaenda Geita Mjini. Geita ni kubwa bro na ina centre nyingi sana na zingine ziko mbali sana na Mwanza. Na kwa taarifa yako Geita mjini hakuja changamka kuliko Katoro. Maana unavyoisema hiyo Geita mjini utafikiri sijui ni centre kubwa ya kila kitu.
Katori imechangamka ila katoro ni mji mdogo sana huwezi kuulinganisha na Geita.