Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

Siyo tu kukosa sababu, ni aibu kwa mtanzania mzalendo kuombea mabaya Nchi yake! Mtu anatamani ndege ikose abiria, Nchi ikose misaada nk, uzalendo uko wapi hapo?!
Ungekua unaijua hali ya kiuchumi ya watu wa Chato na majirani zake usinge ongea hayo
 
Kata tiketi basi tuone kama ni geresha mm nishakata yangu, na nikipanda nitapost picha tena hapa
Weka tiketi hapa tuione!Tunajua ni pesa za walipa kodi zitasafirisha watu kwenda na kurudi ili kumfurahisha mtu,shame!
 
Ukiona mbwa anabwatuka ujue tayari umemgusa penyewe!Pole!
Hiyo safari tunajua ipo kisiasa,hakuna la zaidi!
Uwanja ametua Jiwe na marafiki zake tu!Mkaona itaonekana kajijengea uwanja,zimeanza safari geresha za kisiasa!
We ushaharibiwa na SIASA unahisi kila kitu ni uongo tu babu kama vipi sina wewe ukate uje uone kama ni siasa au?
 
We TOMASO SOURCE vipi? ticket siweke ila fahamu hyo bookinga nilifanya na tiketi ninayo
😁😁😁😁,huna lolote pakashume!Eti nitaweka picha wakati hata tiketi umeshindwa kuweka!Nyie ndio mnatumika kama matoilet paper huku wenzenu wakitusua!
Nakazia,safari hiyo ni ya kisiasa na humo ndabi watajazwa staff!Unaweza shangaa unakata tiketi leo halafu nafasi zinaendelea kubaki vilevile 3😁😁!
Only a fool can buy this crap!
 
Hizo ni hadithi tu.

Practically kusema mtu wa Geita mjini ama Katoro atapanda ndege ashukie Chato kisha arudi Geita huo ni uongo wa asubuhi.

Kutoka Mwanza hadi Geita ni 110km, kutoka Chato hadi Geita mjini ni zaidi ya km 150.

Huo uwanja wa ndege ni white elephant project. Na kwa sasa usishangae wote waliojaa humo ni security agents kwa sababu mzee yuko huko.

Tusubiri akitoka huko utuletee taarifa hali itakavyokua.

Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi [emoji238] wakawa wanacheza humo.
Uwanja wa Ndege wa Mpanda, kwa kweli haukuwahi kuwa na msaada... Sijui kwa nini???
 
Sawa, wewe una shilling ngapi hapo mfukoni? Je umekunywa chai? Una majukumu yoyote ya kulipia watoto school fees au ni kula kulala?

Ukijibu maswali haya ndio naweza kuelewa wewe ni category gani then ndio tuendelee na hui ushuzi wako.
Mkuu mimi nalipa school fees ambayo ww huwezi kulipa hata robo yake kwahyo tulia tudiscuss tu hii flight
 
Hizo ni hadithi tu.

Practically kusema mtu wa Geita mjini ama Katoro atapanda ndege ashukie Chato kisha arudi Geita huo ni uongo wa asubuhi.

Kutoka Mwanza hadi Geita ni 110km, kutoka Chato hadi Geita mjini ni zaidi ya km 150.

Huo uwanja wa ndege ni white elephant project. Na kwa sasa usishangae wote waliojaa humo ni security agents kwa sababu mzee yuko huko.

Tusubiri akitoka huko utuletee taarifa hali itakavyokua.

Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi 🐐 wakawa wanacheza humo.
Akili zako ni kwamba kila anaepanda ndege anaenda Geita Mjini. Geita ni kubwa bro na ina centre nyingi sana na zingine ziko mbali sana na Mwanza. Na kwa taarifa yako Geita mjini hakuja changamka kuliko Katoro. Maana unavyoisema hiyo Geita mjini utafikiri sijui ni centre kubwa ya kila kitu.
 
😁😁😁😁,huna lolote pakashume!Eti nitaweka picha wakati hata tiketi umeshindwa kuweka!Nyie ndio mnatumika kama matoilet paper huku wenzenu wakitusua!
Nakazia,safari hiyo ni ya kisiasa na humo ndabi watajazwa staff!Unaweza shangaa unakata tiketi leo halafu nafasi zinaendelea kubaki vilevile 3😁😁!
Only a fool can buy this crap!
Teh teh teh we nyau kweli subiri nikitua nitajiselfie nikutumie. Ila uache wivu hutaki tutue home na ndege?
 
Hizo ni hadithi tu.

Practically kusema mtu wa Geita mjini ama Katoro atapanda ndege ashukie Chato kisha arudi Geita huo ni uongo wa asubuhi.

Kutoka Mwanza hadi Geita ni 110km, kutoka Chato hadi Geita mjini ni zaidi ya km 150.

Huo uwanja wa ndege ni white elephant project. Na kwa sasa usishangae wote waliojaa humo ni security agents kwa sababu mzee yuko huko.

Tusubiri akitoka huko utuletee taarifa hali itakavyokua.

Pinda alijenga kwao baadae uwanja ukawa wamama wanaanikia mihogo na mahindi, mbuzi 🐐 wakawa wanacheza humo.
Chato - Katoro 71km
Chato - Geita 113km
Mwanza - Geita 98km
 
Akili zako ni kwamba kila anaepanda ndege anaenda Geita Mjini. Geita ni kubwa bro na ina centre nyingi sana na zingine ziko mbali sana na Mwanza. Na kwa taarifa yako Geita mjini hakuja changamka kuliko Katoro. Maana unavyoisema hiyo Geita mjini utafikiri sijui ni centre kubwa ya kila kitu.
Subirini JPM atoke huko ndio tutaongea lugha moja!Wateja potential ukanda huo kukwea pipa ni watu wa Buly na GGM,obviously wa GGM hawawezi kwenda Chato badala yake watashukia Mwanza!Wa Buly nao watagawanyika!
Kwa wakazi wa Chato kama Chato,hawana mbavu za kupanda ndege na kuijaza walau mara moja kwa mwezi!Huo ndio ukweli!
Hao wanaoenda huko ni staff tu wa Magu!
 
Dege la jeshi si litakuwa na masharti ya kijeda?
 
Chato - Katoro 71km
Chato - Geit

Subirini JPM atoke huko ndio tutaongea lugha moja!Wateja potential ukanda huo kukwea pipa ni watu wa Buly na GGM,obviously wa GGM hawawezi kwenda Chato badala yake watashukia Mwanza!Wa Buly nao watagawanyika!
Kwa wakazi wa Chato kama Chato,hawana mbavu za kupanda ndege na kuijaza walau mara moja kwa mwezi!Huo ndio ukweli!
Hao wanaoenda huko ni staff tu wa Magu!
Unadharau sana wewe, nchi hii ni wa wapi wenye uwezo wa kupanda ndege? acha umajinuni wako ndege tutapanda tu licha ya roho zenu mbaya
 
Back
Top Bottom