lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Si useme wewwmbona kwny mwendokas za serikal husemi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si useme wewwmbona kwny mwendokas za serikal husemi?
Super feo ya Songea Masasi Mtwara ni shida...kuanzia Namtumbo hadi Tunduru full abiria kusimama...abiria wengine wanatoka shambani na mikungu ya ndizi wanaenda kijiji cha mbele nauli ya buku yani hakuna tofauti na daladala kila kjj ni kushusha na kupakiaJF .
Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa
Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye korido. Wakishapita wanasimama auwanaendelea kukaa.
Sasa sijui wanamdanganya nani..trafiki wanajua mchezo huu na nimeona mabasi mengi ya mikoani yakifanya mchezo huu ni hatari sana kwa usalama wa abiria.
Serikali ilishapiga marufuku lakini binadamu sijui mpaka wafwanywaje inatia hasira. Sasa kero kubwa kwa abiria ambao wamekaa kwenye viti. Wakati mwingine Wanaminywa vilivyo sipendi kuyataja mabasi lakini mjue wananchi wanafikia mahali wanachoka.
Sasa wanapochoka mnajua wenyewe impact yake, tafadhali wajameni polisi msijisahau..simamieni hili ni wajibu wenu sio mpaka mkumbushwe
Asalaam Alaikum.
Wanapenda selous na super feo asikuambie mtu, hayo magari mengine siti zinakuwa empty lkn hawapandi,Ikitokea ajali hawa wanaosimama nadhani ndio wanaokufa. Haya mabasi maarufu ndio abiria wanajaa hadi kusimama na hawaogopi trafiki.
Kuna siku nilikuwa naenda zangu njombe kwa bahati mbaya nimechelewa, nikajipandia zangu KYELA hadi Makambako then nikadandia ABC hadi Njombe.
Ingawa hatukupewa vitafunwa na siti zimechakaa, lakini safari ilikuwa nzuri na huduma nzuri. Na kuna siti zilienda empty hadi Makambako.
Nipo zangu Tunduru nikakata tiket ya feo masasi to songea,,gari imeingia Tunduru imejaa hatari,Super feo ya Songea Masasi Mtwara ni shida...kuanzia Namtumbo hadi Tunduru full abiria kusimama...abiria wengine wanatoka shambani na mikungu ya ndizi wanaenda kijiji cha mbele nauli ya buku yani hakuna tofauti na daladala kila kjj ni kushusha na kupakia
Umenikumbusha mwaka 2018 nilipanda Buti la Zungu Dar Lindi, kufika mizani ya kule mbele wakatuambia abiria wa kule nyuma watuchukulie bodaboda tukapandie mbele kwa vile eti watapigwa faini kwa ajili ya uzito, halafu wanatuambia kirahisi tu.Abiria wanatakiwa wajitambue,kuna siku nilipanda basi toka Wilaya moja ya mkoa wa Morogoro kuja Dar,kufika mizani wanatuambia tutoke siti za nyuma tuje mbele ili kubalance mizani...nikagoma,nikawaambia kama ni faini mpigwe ili mjifunze,..siwezi lipa nauli then nipate usumbufu.
Usumbufu wa kijinga sana,Umenikumbusha mwaka 2018 nilipanda Buti la Zungu Dar Lindi, kufika mizani ya kule mbele wakatuambia abiria wa kule nyuma watuchukulie bodaboda tukapandie mbele kwa vile eti watapigwa faini kwa ajili ya uzito, halafu wanatuambia kirahisi tu.
Kuna abiria walianza kukubali lakini mimi niliwawashia moto nikasema kwanza hicho kipengele kwenye tiketi hakipo pili mimi abiria sina hasara au faida kama wao wakililipishwa faini kwa ajili ya uzito, hivyo kama wanataka kukwepa hilo watulipe hela au watupunguzie nauli.
Abiria wenzangu wakaniunga mkono, mwisho wakaamua kushuka wao halafu baadhi ya abiria wakasogea mbele
Watu wana moyo aisee!Abiria anasimama kuanzia Dodoma hadi Mbeya. Hatari sana halafu sio salama
Sent using Jamii Forums mobile app