Tuache Ufyatu: Ni Kama Bado Tunadeka...

Kifupi hawajui wanachotaka.....

Hizi tabia zao zimenifanyi niamini JPM alifaa kuiongoza hii nchi hata miaka 50 ndio vile tu mapenzi ya Mungu....kifupi tunahitaji Rais mtemi
mndava na katili ili akili zikae sawa kidogo..
Wanataka katiba mpya
 
U

Ikitengenezwa katiba mpya.Watasema sio yenyewe.Wabongo wengi hawajielewi.Ni kudeka tu.
Tumejaribu kila kitu isipokuwa katiba mpya itokanayo na wananchi. Hakuna hasara yoyote tutapata tukijaribu na katiba mpya.
 
Nina imani mlio wengi mnataka katiba mpya ili tu kuweza kukidhi mahitaji yenu ya kisiada lakini ukweli hatuhitaji katiba mpya ili twende vizuri kama nchi bali tuwe tunachagua viongozi walio makini. Na viongozi hao kusema ukweli ha wako nje ya CCM.
Matakwa yapi ya kisiasa?
 
Wanataka katiba mpya

tukiwapa nayo watakuambia JWTZ ibinafsishwe na jeshi la polisi lisiwepo tutajilinda wenyewe. nk...kifupi huwezi kumridhisha mlalamishi kama ilivyo kwa mwanamke...
 
Mimi siyo mwanasiasa Mkuu, kila mtu na kazi yake, hawa tunaowategemea wameshindwa kazi, CCM watatawala muda mwingi sababu ya ufake wa hawa wapinzani wetu
Acha kujichanganya.
1-weye si mwanasiasa
2-kila mtu na kazi yake
3-halafu unawategemea haohao wanasiasa
4-bado umeona wameshindwa(wakati huijui siasa)na unaona ni fake
5-unapenda CCM itawale milele
Ari yuu oukei mista?
 
Na kama sio zengwe Slaa alikuwa anakuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania.

hata Lyatonga alikuwa anakuwa Rais, hata Mbowe alishinda, hata Lipumba alishinda, hata Lowasa alishinda, hata Lisu alishinda...walishinda hawa wote asubuhi tu..hahahahahaha

nguvu ya umma hailazimishwi inakujaga tu yenyewe kama maji, siku watanzania wakiichoka CCM wataitoa tu tena kirahisi mno, kwa sasa bado hawajaichoka na hata kama wameichoka hawajaona mbadala..
 
Ukiwa kwenye system a.k.a NTU WA DILI lazima uunge mkono tu
 
Sasa kama ni hivi ni kwa nini wasiweke tume huru ya uchaguzi? Wanaogopa nini?
 
Acha kujichanganya.
1-weye si mwanasiasa
2-kila mtu na kazi yake
3-halafu unawategemea haohao wanasiasa
4-bado umeona wameshindwa(wakati huijui siasa)na unaona ni fake
5-unapenda CCM itawale milele
Ari yuu oukei mista?
Kila mtu na kazi yake kaka,kutokuwa mwanasiasa haimaanisi hauguswi na maamuzi yao ya kisiasa, leo hii kila mtu anaguswa na ujenzi wa SGR, ni uamuzi wa mwanasiasa
 
Ha ha haaa
Ulienda msibani bro? Hatimaye
 
Katiba Mpya itafanya nini na kwanini unafikiri CCM ina maslahi ya kuwa na Katiba Mpya? Wameweza kutawala kwa miaka sitini hivi kwanini leo waamue kuja na Katiba Mpya kabisa?
Mzee tunaokuambiga' umepoteza mwelekeo huwa tuna maanisha ...yaani wewe unauliza Katiba itafanya Nini...!🤭🤭
 
tukiwapa nayo watakuambia JWTZ ibinafsishwe na jeshi la polisi lisiwepo tutajilinda wenyewe. nk...kifupi huwezi kumridhisha mlalamishi kama ilivyo kwa mwanamke...
" Tukiwapa" wewe nani?
Hauko kwenye nafasi ya kumpa mtu chochote wewe kapuku. Endelea kufanya umachinga tu huku ukilipa tozo vizuri
 
Tozo na miamala unaijua wewe?

Uonevu wa jeshi la polisi dhidi ya wapinzani huuoni?

Bidhaa muhimu kupanda bei unakujua wewe?

Hatutaki tabasamu au hasira ya mtu tunataka atawale kwa mujibu wa sheria nothing more
 
Standard ambazo baadhi ya watu wwliweka kwa mama Samia zilikuwa juu sana. Mimi Toka mwanzo niliona udhaifu mkubwa
 
Rubbish
 
Are you mocking us..?

If not, then hebu tuambie ni ujumbe gani unataka audience yako ipate kutoka kwenye bandiko lako hili...?

Kwamba, tuache mambo yaende kama ilivyo na tuache huko ulikokuita "kudeka?"

Au tuendelee kuishi kwa namna hii hii na tuache mambo vile vile yalivyo kwa kupiga kimya kama bubu aliyechomwa mwiba na kukosa msaada kwa kuwa sauti yake ya kuomba msaada haisikiki..?

Kama ndivyo, unadhani sisi ni mabubu kwani...??

What specific message did you intend to convey to the audience...?

As far as I know, kiongozi mbaya ni mbaya tu na haizuii watu kupiga kelele ya kuomba nafuu...

Hata akija wa pili na wa tatu na wa nne akiwa amebeba ubaya uleule, haitazuia watu kupiga kelele...!

Ndo kusema kuwa, "The Beautiful Ones Are Not Yet Born yet in Tanzania...!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…