Tuache Ufyatu: Nyerere Alikuwa Rais wa Wapi?

Tuache Ufyatu: Nyerere Alikuwa Rais wa Wapi?

Sawa Nyerere day wacha tuazimishe sherehe zake chato.

Halafu tukiweka mashada kwenye kaburi la Magufuli.

Na tunaenda kumtembelea kabisa mama Janeth

Tukanunue na muhindi hapo chato wa kuchoma tutafune😄😄😄

Hakika hi ndio Nyerere day!
 
hahahahahaha.... Kumbukumbu huwa ni misa tu kwa imani ta marehemu...Misa inafanyika popote pale na shada la maua litawekwa siku yeyote ile.... tuwe na mazoea ya kutembelea na kusafisha makaburi ya ndugu zetu pamoja na kuwaombea dua huko walipo..
 
Kuanzisha uzi kwa kujibu ufyatu nadhani ni kutendea haki neno la ufyatu; impact kubwa ingefanyika kuwajibu mafyatu kulekule kwenye ufyatu wao...

Inaleta context na mtiririko wa mtu baki kuelewa
 
Sawa Nyerere day wacha tuazimishe sherehe zake chato.

Halafu tukiweka mashada kwenye kaburi la Magufuli.

Na tunaenda kumtembelea kabisa mama Janeth

Hakika hi ndio Nyerere day ya kipekee inayotakiwa kuwekwa kwenye record za ulimwengu.

R.I.P Mpambanaji J.K.Nyerere.
Mkuu Nyerere alipambanaje na wakati mgombea uraisi wetu wa mwaka jana katika uchaguzi mkuu alituambia kuwa mzee mchonga alikuwa anaishi kijanja janja na kwamba sifa anazopewa sio za kweli na hazimstahili?
 
Kumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
Sawa iadhimishwe popote kwa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Nyerere, lkn siyo kwa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la dikteta
 
Uko sahihi kumbukizi ya Mwalimu Nyerere inaweza fanywa hata kwenye Kaburi la Hayati Magufuli. Inafikirisha lakini.
Basi na ile ya Karume ikaadhimishwe kule Chato pia. Kwanza si vyema hata tukio la kuzima huo mwenge likawekwa sambamba na siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa.

Mambo ya mwenge kuna haja yawe yanafanyika kiwilaya na tena ikiwezekana yafanywe na wana CCM pekee. "Stealing a show' kwenye siku ya kumbukizi ya Mwl. Nyerere kwa kuweka vitu visivyokuwa na umuhimu wowote ule ili vipewe "attention" ni jambo la kusikitisha sana.
 
Sijui walitaka maadhimisho yafanyike Chato alafu wasitembelee makaburi. Kuna ujinga unachosha sana, hili ni tatizo la kukosa ajenda unaishia kudandia kila kitu.
 
Sijui walitaka maadhimisho yafanyike Chato alafu wasitembelee makaburi. Kuna ujinga unachosha sana, hili ni tatizo la kukosa ajenda unaishia kudandia kila kitu.

..wanaolalamika na kulaumu have a point. Kuna kuchanganya mambo ktk suala zima.

..sio sahihi kufanya shughuli ya kumuadhimisha Nyerere, Chato, kama ambavyo sio sahihi kufanya shughuli ya kumuadhimisha Magufuli Butiama.

..Watz tuna tabia ya kutopenda, au kuona kero, kufuata itifaki, taratibu, na kufanya mambo vile inavyotakiwa.

cc Mzee Mwanakijiji
 
Sawa Nyerere day wacha tuazimishe sherehe zake chato.

Halafu tukiweka mashada kwenye kaburi la Magufuli.

Na tunaenda kumtembelea kabisa mama Janeth

Tukanunue na muhindi hapo chato wa kuchoma tutafune[emoji1][emoji1][emoji1]

Hakika hi ndio Nyerere day!
Nyerere day hiyo !
FB_IMG_1634222089990.jpg
 
Sijui walitaka maadhimisho yafanyike Chato alafu wasitembelee makaburi. Kuna ujinga unachosha sana, hili ni tatizo la kukosa ajenda unaishia kudandia kila kitu.
Ukilipwa unakuwa kama mtumwa , utatetea hadi uozo , Maadhimisho ya Nyerere , pole anapewa Janeth Magufuli uliona wapi ?
 
Hata kama ni popote,ndio tukashughulike na kaburi la Jiwe na kampeni za Chato kuwa mkoa?! pale ilitakiwa kuwaambia watu maono ya Nyerere. unajua sana shida ya hii kitu ndio maana imekushinda kuandika gazeti reeefu kama kawaida yako
 
Sijui walitaka maadhimisho yafanyike Chato alafu wasitembelee makaburi. Kuna ujinga unachosha sana, hili ni tatizo la kukosa ajenda unaishia kudandia kila kitu.

Ni kweli chama tawala kimechakaa, lakini upinzani wetu unakosa umakini sana, hasa linapokuja suala la ajenda wanayojipambanua nayo.

Mfano nimesikia juzi kiongozi anajadili jambo la Rais kutokupiga picha na Rais wa US, sijui waziri alitangulua takriban mwezi kabla ya mkutano wa UNGA. Kweli hayo ndio mambo ya kujadiliwa na kiongozi wa juu wa chama?

Kuna haja ya kujitafakari na kujipanga upya.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwani kulikua na sababu gani za msingi wasiende Chato kuweka mashada mwezi August /September hadi waende October 14?

Au Chato iko sayari nyingine hadi watumke siku nyingi kufika huko.?
 
Mbona kwa Mkampa hata kuzungumziwa hakuna.Sukuma GANG wana nguvu sana.
Nyerere ndio anafutwa hivyo inabaki Magufuli.. Sad ..!
 
Back
Top Bottom