Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Nyerere alipambanaje na wakati mgombea uraisi wetu wa mwaka jana katika uchaguzi mkuu alituambia kuwa mzee mchonga alikuwa anaishi kijanja janja na kwamba sifa anazopewa sio za kweli na hazimstahili?Sawa Nyerere day wacha tuazimishe sherehe zake chato.
Halafu tukiweka mashada kwenye kaburi la Magufuli.
Na tunaenda kumtembelea kabisa mama Janeth
Hakika hi ndio Nyerere day ya kipekee inayotakiwa kuwekwa kwenye record za ulimwengu.
R.I.P Mpambanaji J.K.Nyerere.
Sawa iadhimishwe popote kwa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Nyerere, lkn siyo kwa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la diktetaKumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
Basi na ile ya Karume ikaadhimishwe kule Chato pia. Kwanza si vyema hata tukio la kuzima huo mwenge likawekwa sambamba na siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa.Uko sahihi kumbukizi ya Mwalimu Nyerere inaweza fanywa hata kwenye Kaburi la Hayati Magufuli. Inafikirisha lakini.
Sijui walitaka maadhimisho yafanyike Chato alafu wasitembelee makaburi. Kuna ujinga unachosha sana, hili ni tatizo la kukosa ajenda unaishia kudandia kila kitu.
[emoji38][emoji38][emoji38]Endeleeni kupanua MagoliKumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
Nyerere day hiyo !Sawa Nyerere day wacha tuazimishe sherehe zake chato.
Halafu tukiweka mashada kwenye kaburi la Magufuli.
Na tunaenda kumtembelea kabisa mama Janeth
Tukanunue na muhindi hapo chato wa kuchoma tutafune[emoji1][emoji1][emoji1]
Hakika hi ndio Nyerere day!
Ukilipwa unakuwa kama mtumwa , utatetea hadi uozo , Maadhimisho ya Nyerere , pole anapewa Janeth Magufuli uliona wapi ?Sijui walitaka maadhimisho yafanyike Chato alafu wasitembelee makaburi. Kuna ujinga unachosha sana, hili ni tatizo la kukosa ajenda unaishia kudandia kila kitu.
KabisaMkitoka hapo nendeni na lupaso
Sijui walitaka maadhimisho yafanyike Chato alafu wasitembelee makaburi. Kuna ujinga unachosha sana, hili ni tatizo la kukosa ajenda unaishia kudandia kila kitu.