Tuache ujinga

Tuache ujinga

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Nimejiuliza sana tena sana, kwanini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?

Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tisheti na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura huhamia Dodoma na Dar kula bata huku wakiwaacha wapiga kura waliowahonga chumvi na sabuni wakibaki maskini milele!

Baada ya miaka 5 hurudi tena jimboni kuhonga vijizawadi hivyo hivyo na wakishapewa kura huhamia tena Dodoma na Dar kula bata.

Kwa nini tumekubali kuwa wajinga miongo na miongo?

Tushikamane wandungu kuukataa huo ujinga.
 
Nimejiuliza sana tena sana kwa nini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?

Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tshart na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura huhamia Dodoma na Dar kula bata huku wakiwaacha wapiga kura waliowahonga chumvi na sabuni.
wakibaki maskini milele!

Baada ya miaka 5 hurudi tena jimboni kuhonga vijizawadi hivyo hivyo na wakishapewa kura huhamia tena Dodoma na Dar bata.

Kwa nini tumekubali kuwa wajinga miongo na miongo?

Tushikamane wandungu tuukatae huo ujinga.
Umeandika vyema sana saaana
 
Wanasiasa ni mkatili na wana roho mbaya sana na ni wabinafsi
 
Attachments

  • 1682008692741.jpg
    1682008692741.jpg
    118.9 KB · Views: 3
Nimejiuliza sana tena sana kwa nini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?

Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tshart na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura huhamia Dodoma na Dar kula bata huku wakiwaacha wapiga kura waliowahonga chumvi na sabuni.
wakibaki maskini milele!

Baada ya miaka 5 hurudi tena jimboni kuhonga vijizawadi hivyo hivyo na wakishapewa kura huhamia tena Dodoma na Dar bata.

Kwa nini tumekubali kuwa wajinga miongo na miongo?

Tushikamane wandungu tuukatae huo ujinga.
Aisee Figo zangu umenikoshaa sanaa
 
Wewe wafikishie wawili na wawili wawafikishie wawili, mwisho wa siku Taifa zima litakuwa limeelimika na kubadilika.

Hakika kulalamika tu tumechoka sana. Nchi hii kuna watu wanapata shida sana wakati familia fulani fulani zinaneemeka miaka baada ya miaka.
 
Hakuna umasikini mbaya zaidi duniani kama umasikini wa fikra wa kukosa akili thabiti ya uchanganuzi wa mambo na huu ndo umasikini mkubwa kwa watanzania walio wengi.

Ndio maana watu wenye akili timamu walisha lipuuzia sanduku la Kura
 
Back
Top Bottom